Thursday, December 13, 2012

TUOMBEE TANZANIA/ PRAY FOR TANZANIA

karibuni sana kwa wale ambao nchi yetu inawagusa. Yapo mambo mengi yanayotokea nchini mwetu, na kwa hakika hayapendezi. Tunaona maadili yameshuka. Rushwa imekomaa. Hospitali hazitibu wagonjwa ipasavyo. Roho za uchawi kutawala. Machafuko ya kidini. Makanisa kuchomwa. Na kadhalika. Karibu sana.

maombitanzania@gmail.com