Tuesday, December 2, 2014

RATIBA YA DISEMBA 2014/ DECEMBER 2014 TIMETABLE

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
MONDAY/
JUMATATU

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.

2
TUESDAY/
JUMANNE

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way,pray against end of year accidents/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi. Kemea ajali za mwisho wa mwaka.

3
WED’DAY/
JUMATANO

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way, pray against end of year accidents /

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi. Kemea ajali za mwisho wa mwaka

4
THURSDAY/
ALHAMISI

5
FRIDAY /
IJUMAA

Pray for peace in Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray against misuse of authority and funds in ministry of education. What is hidden should be unveiled and proper steps to be taken, pray against end of year accidents /

Ombea amani Tanzania. Ombea wagonjwa, Yatima na wajane. Omba kukemea utendaji mbovu wizara ya elimu. Mabaya yaliyofichika yafichuliwe na hatua zichukuliwe. Kemea ajali za mwisho wa mwaka

6
SATURDAY/
JUMAMOSI

Pray for peace in Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray against misuse of authority and funds in ministry of education. What is hidden should be unveiled and proper steps to be taken, pray against end of year accidents./

7
SUNDAY/
JUMAPILI

8

9

10
WED’DAY/
JUMATANO

Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight among pastors and bishops, pray against end of year accidents./

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu. Kemea ajali za mwisho wa mwaka

11
THURSDAY/
ALHAMISI

Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight among pastors and bishops. pray against end of year accidents /

12
FRIDAY /IJUMAA

13

14

15
MONDAY/
JUMATATU

Pray for president Kikwete. pray against end of year accidents /

Ombea rais Kikwete. Kemea ajali za mwisho wa mwaka

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
16
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray for Pastor Christopher Mwakasege.
2. Pray for success in preparation of Mwakasege meetings.
3. Pray for LINDI region.
ISAIAH 19:22

1. Ombea Mwalimu Christopher mwakasege.
2. Omba mafanikio na ushindi katika maandalizi ya mikutano ya Mwakasege.
3. Ombea mkoa wa LINDI.

ISAYA 19:22

17

18

19
FRIDAY /
IJUMAA

1. Pray that we have a fair and suitable constitution.
2. Pray against the habit of prayerlessness among the Christians.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22

1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA

ISAYA 19:22

20
SATURDAY/
JUMAMOSI

1. Pray that we have a fair and suitable constitution

21

22
MONDAY/
JUMATATU

1. Pray that corruption in government should be unveiled
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely
3. Pray for MOROGORO region
ISAIAH 38:5

1. Omba Mungu aingilie kati kwamba mambo ya rushwa serikalini
     yafichuliwe
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
     vya usafiri.
3. Ombea mkoa wa MOROGORO
ISAYA 38:5

23

24

25
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Thank God for the year 2014.
2. Pray for KAGERA region
MATH 7:7…..:

1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea mkoa wa KAGERA
MATH 7:7…..:

26
IJUMAA/
FRIDAY
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray for ARUSHA region
ISAIAH 38:5

1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea mkoa wa ARUSHA
ISAYA 38:5

27
JUMAMOSI/
SATURDAY

1. Thank God for the year 2014.
2. Pray for KIGOMA region
MATH 7:7…..:

1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea mkoa wa KIGOMA
MATH 7:7…..:

28
SUNDAY/
JUMAPILI
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray to stop end of year accidents
MATH 7:7…..:

1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea kukemea ajali za mwisho wa mwaka.
MATH 7:7…..:

29

30
TUESDAY/
JUMANNE

1. Thank God for the year 2014.
2. Pray to stop beginning of year accidents
MATH 7:7…..:

1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea kukemea ajali za mwanzo wa mwaka 2015.
MATH 7:7…..:

31
WED’DAY/
JUMATANO

1. Thank God for the year 2014.
2. Pray to stop beginning of year 2015 accidents