Saturday, July 19, 2014

RATIBA YA AGOSTI 2014/ AUGUST 2014 TIMETABLE

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
FRIDAY /IJUMAA

1.  kemea vikaovya uharibifu vinavyolenga kuharibu kanisa
      viharibike na visifanikiwe.

2.  Ombea mkoa wa KAGERA.

//////////////////////////////////////

1.  Pray against any evil meetings against the church no to succeed.

2.  Pray for KAGERA region.

2
SATURDAY/
JUMAMOSI

1.  kemea mtandao wa majambazi Tanzania. Majambazi wote
wakamatwe.

2.  Ombea mkoa wa NJOMBE.

//////////////////////////////////////

1.  Pray against the armed robbers network. All armed robbers to be caught and arrested.

2.  Pray for NJOMBE region.

3
SUNDAY/
JUMAPILI

1.  Ombea mamlaka za maji safi za manispaa , majiji na miji
      ili wawajibike ipasavyo kutuletea maji safi.

2. Ombea mkoa wa LINDI.

////////////////////////////////////

1.  Pray for the sewerage authorities in municipals, towns and cities to work hard for better services

2.  Pray for LINDI region.

4
MONDAY/
JUMATATU

1.  Ombea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014. Tupate
viongozi bora kuiongoza mitaa yetu.

2.  Ombea mkoa wa KATAVI.

////////////////////////////////////////////////
1.  Pray for the local government elections later this year of 2014. Pray that we get responsible local government leaders.

2.  Pray for KATAVI region

5
TUESDAY/
JUMANNE

1.  Ombea utendaji wa jeshi la polisi Tanzania. Kemea rushwa inayo
chukuliwa na askari polisi. Omba haki itendeke.

2.  Ombea mkoa wa IRINGA

///////////////////////////////////////

1.  Pray for the police army to work in justice. Rebuke corruption in the police army

2.  Pray for KATAVI region

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
6
WED’DAY/
JUMATANO

1. Pray for president Kikwete to make wise decisions for our country.
2. Pray for MARA  region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Omba kwamba rais Kikwete afanye maamuzi ya busara kwa ajili ya taifa letu.
2.  Ombea mkoa wa MARA.

7
ALHAMISI/
THURSDAY

1. Pray against  corruption in the ministry of finance.
2. Pray for LINDI region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho RUSHWA katika wizara ya fedha.
2.  Ombea mkoa wa LINDI.

8
IJUMAA/
FRIDAY

1. Pray against the torturing of media especially when they speak the truth.
2. Pray for MTWARA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Kemea tabiaya serikali kunyanyasa vyombo vya habari hasa hasa vinapoandika mambo ya kweli.
2.  Ombea mkoa wa MTWARA.

9
J’MOSI
SATURDAY

1. Pray against corruption in the ministry of health. This ministry is not doing enough to save the patients. In government hospitals you must bribe the doctors and nurses to attend the patient or else your loved one will die.
2. Pray for MOROGORO region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho ya RUSHWA katika wizara ya afya. Hii ni wizara ambayo haiwajibiki kabisa na watu hufia hospitalini kwa sababu hawana pesa ya kumuhonga nesi au daktari. TUOMBE na Yesu atafanya.
2.  Ombea mkoa wa MOROGORO.

10
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray against corruption in the police force. There is a huge corruption base in the traffic police.
2. Pray for TABORA  region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho ya rushwa katika jeshi la polisi. Kuna rushwa iliyoota mizizi hasa katika askari wa usalama barabarani.
2.  Ombea mkoa wa TABORA.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
MONDAY/
JUMATATU
Repenting for Tanzania. Praying for peace. Pray against the killing of pastors, Christians. Pray against the burning of churches in Tanzania. Pray for peaceful political meetings or activities./

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Omba amani katika nchi ya Tanzania. Omba kukemea mauaji ya mapadre na wachungaji na wakristo kutokana na watu wanaodhaniwa kuwa ni waislamu wenye msimamo mkali. Omba amani itawale kwenye mikutano na shughuli zozote za kisiasa au vyama vya siasa.
12

13
JUMATANO/ WEDNESDAY

14

15

16
JUMAMOSI/

17
JUMAPILI/
SUNDAY

18
MONDAY/
JUMATATU

1. Pray for the Tanzanian Youth to receive Jesus in their hearts.
2. Pray for unity in spirit for The church of Tanzania.
3. Pray for MWANZA region
ISAIAH 19:22

1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba umoja katika roho kwa kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa MWANZA

ISAYA 19:22

19
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray that we have a fair and suitable constitution
2. Pray against the habit of prayerlessness among the Christians.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22

1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA

ISAYA 19:22

20

21
THURSDAY/
ALHAMISI

22
FRIDAY/
IJUMAA

23
 SATURDAY
/JUMAMOSI

1. Pray for peace in political affairs in Tanzania.
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely
3. Pray for MARA region
ISAIAH 38:5

1. Omba amani katika shughuli zote za kisiasa nchini
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
    vya usafiri.
3. Ombea mkoa wa MARA
ISAYA 38:5

24

25

26
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray for the patients in hospitals
2. Pray for committed pastors who work in hardships.
3. Pray for RUVUMA region
ISAIAH 38:5

1. Ombea wagonjwa mahospitalini
2. Ombea wachungaji wanaofanya kazi ya Mungu katika mazingira
     magumu
3. Ombea mkoa wa RUVUMA
ISAYA 38:5

27

28

30
IJUMAA/
FRIDAY

1. Pray for all meetings of the council of ministers in the government.
2. Pray for all secondary school headmasters in Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
JEREMIAH 31:9

1. Ombea vikao vyote vya baraza la mawaziri
2. Ombea wakuu wa shule za sekondari Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
YEREMIA 31:9

31