TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
1
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray that many people of Zanzibar get saved in truth and spirit.
2. Pray for MANYARA region.
...................................................................
1. Tuombe watu waokoke kwa wingi
na katika roho na kweli
huko Zanzibar
2. Ombea mkoa wa MANYARA
|
2
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray that God uplifts the pastors who preach the
gospel
with a whole
heart, but their life standard is very low.
2. Pray for MARA region.
..............................................................................
1. Bwana Mungu awakumbuke wachungaji wanaojitoa
kutumika lakini
hali zao kimaisha ni za chini.
2. Ombea mkoa wa
MARA
|
3
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Pray that we get the leaders who practice justice to
majority
Tanzanians in 2015.
2. Pray for KILIMANJARO region.
.....................................................................
1. Mungu atupe
viongozi wanaotenda haki kwa watanzania
mwaka 2015
2. Ombea mkoa wa
KILIMANJARO.
|
4
|
FRIDAY
/
IJUMAA
|
1. Pray that the parliament should not pass resolutions
in
favour of the
few especially our selfish leaders. The parliament
should consider
the majority who are poor.
2. Pray for GEITA region.
..............................................................................
1. Kemea bunge
lisipitishe matakwa ya wachache hasa walio
madarakani.
Bunge lithamini maoni ya wananchi walio wengi.
Bunge
liwatazame maskini na wanyonge kwa uzito zaidi
2. Ombea mkoa wa
GEITA.
|
5
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray that the people who steals government money, as
well
as those who
practice corruption.
2. Pray for SIMIYU region.
.................................................................................
1. Watendaji wala
rushwa na mafisadi wafichuke na kuchukuliwa
hatua
2. Ombea mkoa wa
SIMIYU.
|
TAREHE/
DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
6
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for mercy. Pray for peace in Tanzania. Praying for
parliamentary discussions which will be taking place in Dodoma. The poor and
majority to be highly considered. Pray that secret meetings made by some
people for the purpose of burning the churches and killing of Christians to
be unveiled before they mature. All bad things in TANESCO to be unveiled and
people concerned to be taken to the court. Top officials who cause or caused
the education system of Tanzania to become worse to resign and proper
measures to be taken.
Omba rehema kuhusu mambo mabaya yanayoendelea Tanzania. Ombea
amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vitakavyofanyika huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Omba kwamba
vikao vya siri vinavyofanywa na watu Fulani kwa nia ya kuchoma makanisa au
kuua wakristo vifichuke kabla ya malengo yao mabaya kutimia. Ufisadi TANESCO
ufichuliwe kabisa na wahusika wachukuliwe hatua za kisheria. Waliosababisha
au wanaosababisha elimu ya Tanzania kuwa mbovu huko serikalini wawajibishwe
na kuchukuliwa hatua za kisheria.
|
7
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for mercy. Pray for peace in Tanzania. Praying for
parliamentary discussions which will be taking place in Dodoma. The poor and
majority to be highly considered. Pray that secret meetings made by some
people for the purpose of burning the churches and killing of Christians to
be unveiled before they mature. All bad things in TANESCO to be unveiled and
people concerned to be taken to the court. Top officials who cause or caused
the education system of Tanzania to become worse to resign and proper
measures to be taken.
Omba rehema kuhusu mambo mabaya yanayoendelea Tanzania. Ombea
amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vitakavyofanyika huko Dodoma
. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Omba kwamba

8
|
MONDAY/
JUMATATU

9

10

11
|
THURSDAY
/ALHAMISI

12
|
FRIDAY /

13
|
JUMAMOSI/
SATURDAY

14

15
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Repenting
for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for
all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise
or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these
leaders should act in the right way/
Tubu
kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya
bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu
ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya
uongozi uliopo. Hii Ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba
kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
16
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Repenting
for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu
kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya
bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu
ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya
uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba

17

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili
ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la
mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu
kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya
kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo
sahihi na kwa usahihi.
|
18
|
FRIDAY /IJUMAA
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Repenting
for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu
kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya
bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu
ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya
uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba
kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
19

20

21

22

Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives.
All these leaders should act in the right way/
Tubu
kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya
bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu
ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya
uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba
kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
23
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Repenting
for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu
kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya
bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu
ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya
uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba
kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
24

25
|
FRIDAY /IJUMAA
|
Pray
for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which are taking
place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered/
Ombea
amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vinavyoendelea huko Dodoma.
Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
26
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for peace. We
should pray that the nation should not be led under the influence of darkness
powers and freemasonry/
Omba amani ya nchi.
Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara,
freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
|
27
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for peace in
Tanzania. Pray against religious conflicts in Tanzania./
Ombea amani ya
Tanzania. Omba kukemea machafuko ya kidini Tanzania
|
28
|
MONDAY
/JUMATATU
|
Repenting for
Tanzania. Praying for peace. Pray against the killing of pastors, Christians.
Pray against the burning of churches in Tanzania. Pray for peaceful political
meetings or activities./
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Omba amani katika nchi ya Tanzania. Omba kukemea mauaji ya mapadre
na wachungaji na wakristo kutokana na watu wanaodhaniwa kuwa ni waislamu
wenye msimamo mkali. Omba amani itawale kwenye mikutano na shughuli zozote za
kisiasa au vyama vya siasa.
|
29
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for the
Tanzania parliament. All discussions and decisions should be done in favour
of the poor majority and the church of Jesus Christ. Pray for the process of
having a fair and democratic constitution. Currently about 80% of the
delegates in that process are Muslims. Pray that the constitution should not
include the wants of either religion. Pray against OIC and the court of
Kadhi, and sharia. Pray for Taifa Stars(Tanzania soccer national team) to win
its matches
Ombea vikao vya bunge. Mijadala yote humo bungeni iwe kwa
maslahi ya wanyonge walio wengi na kanisa la Yesu Kristo. Omba kwamba tupate
katiba mpya iliyo safi nay a kidemokrasia. Kwa sasa inasemekana asilimia
zipatazo 80 ya wajumbe waliomo kwenye mchakato wa katiba mpya ni waislamu.
Omba kwamba katiba mpya isipendelee matakwa ya dini yoyote ile, iwe mwanana.
Omba kuzuia mambo ya Tanzania kujiunga na OIC na kuanzisha mahakama ya kadhi
na kutumia shria za kiislamu. Ombea Taifa Stars ishinde mechi zake.
|
30
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray for the
Tanzania parliament. All discussions and decisions should be done in favour
of the poor majority and the church of Jesus Christ. Pray for the process of
having a fair and democratic constitution. Currently about 80% of the
delegates in that process are Muslims. Pray that the constitution should not
include the wants of either religion. Pray against OIC and the court of
Kadhi, and sharia. Pray for Taifa Stars(Tanzania soccer national team) to win
its matches./
Ombea vikao vya bunge. Mijadala yote humo bungeni iwe kwa
maslahi ya wanyonge walio wengi na kanisa la Yesu Kristo. Omba kwamba tupate
katiba mpya iliyo safi nay a kidemokrasia. Kwa sasa inasemekana asilimia
zipatazo 80 ya wajumbe waliomo kwenye mchakato wa katiba mpya ni waislamu.
Omba kwamba katiba mpya isipendelee matakwa ya dini yoyote ile, iwe mwanana.
Omba kuzuia mambo ya Tanzania kujiunga na OIC na kuanzisha mahakama ya kadhi
na kutumia shria za kiislamu. Ombea Taifa Stars ishinde mechi zake
|
31

BE BLESSED.
No comments:
Post a Comment