TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
1
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa
sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu
ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba
kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
2
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way,pray against end of year
accidents/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa
sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu
ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba
kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi. Kemea ajali za
mwisho wa mwaka.
|
3
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way, pray against end of
year accidents /

mwisho wa mwaka
|
4
|
THURSDAY/
ALHAMISI

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais
Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Wakati
mwingine tunaingia katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu
kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya
kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo
sahihi na kwa usahihi. Kemea ajali za mwisho wa mwaka
|
5
|
FRIDAY /
IJUMAA
|
Pray for peace in
Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray
against misuse of authority and funds in ministry of education. What is
hidden should be unveiled and proper steps to be taken, pray against end of
year accidents /
Ombea amani
Tanzania. Ombea wagonjwa, Yatima na wajane. Omba kukemea utendaji mbovu
wizara ya elimu. Mabaya yaliyofichika yafichuliwe na hatua zichukuliwe. Kemea
ajali za mwisho wa mwaka
|
6
|
SATURDAY/
JUMAMOSI

year accidents./

7
|
SUNDAY/
JUMAPILI

8

9

10
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Repenting for
Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in
Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight
among pastors and bishops, pray against end of year accidents./
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa
za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya
rohoni kwa wachungaji na maaskofu. Kemea ajali za mwisho wa mwaka
|
11
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Repenting for
Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in
Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight
among pastors and bishops. pray against end of year accidents /

12
|
FRIDAY /IJUMAA

13

14

15
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for president
Kikwete. pray against end of year accidents /
Ombea rais Kikwete. Kemea
ajali za mwisho wa mwaka
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
16
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for Pastor Christopher Mwakasege.
2. Pray for success in preparation of Mwakasege meetings.
3. Pray for LINDI region.
ISAIAH 19:22
1. Ombea Mwalimu Christopher mwakasege.
2. Omba mafanikio na ushindi katika maandalizi ya
mikutano ya Mwakasege.
3. Ombea mkoa wa LINDI.
ISAYA 19:22
|
17

18

19
|
FRIDAY /
IJUMAA
|
1. Pray that we have a fair and suitable constitution.
2. Pray against the habit of prayerlessness among the
Christians.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la
Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA
ISAYA 19:22
|
20
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray that we have a fair and suitable constitution

21

22
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray that corruption in government should be unveiled
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive
safely
3. Pray for MOROGORO region
ISAIAH 38:5
1. Omba Mungu aingilie kati kwamba mambo ya rushwa
serikalini
yafichuliwe
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
vya
usafiri.
3. Ombea mkoa wa MOROGORO
ISAYA 38:5
|
23

24

25
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray for KAGERA region
MATH 7:7…..:
1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea mkoa wa KAGERA
MATH 7:7…..:
|
26
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray for ARUSHA region
ISAIAH 38:5
1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea mkoa wa ARUSHA
ISAYA 38:5
|
27
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray for KIGOMA region
MATH 7:7…..:
1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea mkoa wa KIGOMA
MATH 7:7…..:
|
28
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray to stop end of year accidents
MATH 7:7…..:
1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea kukemea ajali za mwisho wa mwaka.
MATH 7:7…..:
|
29

30
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray to stop beginning of year accidents
MATH 7:7…..:
1. Tumshukuru Mungu kwa mwaka 2014.
2. Ombea kukemea ajali za mwanzo wa mwaka 2015.
MATH 7:7…..:
|
31
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Thank God for the year 2014.
2. Pray to stop beginning of year 2015 accidents