Wednesday, April 1, 2015

RATIBA YA APRILI 2015/ APRIL 2015 TIMETABLE

DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
JUMATANO/
WED'DAY

Pray against the officiating of Kadhi courts in Tanzania/

Ombea kukemea kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa Tanzania.

2
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for parliamentary sessions in Dodoma./

Ombea vikao vya bunge Dodoma.

3
IJUMAA/
FRIDAY

Pray for students in colleges and universities to know  Jesus/

Ombea wanafunzi vyuoni wamjue Yesu Kristo

4
J'MOSI/
SATURDAY

Pray for fair politics in the rulling party/

Omba kuwe na siasa safi katika chama tawala

5
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray agaist famine and floods in Tanzania/

Kemea majanga ya njaa, mafuriko

6
JUMATATU/
MONDAY

Pray for Ukerewe Island/

Ombea  kisiwa cha ukerewe.

7
JUMANNE/
TUESDAY

Pray for Mbeya region/

Ombea mkoa wa Mbeya

8

JUMATANO/
WED'DAY

Pray agaist car accidents in Tanzania/

Kemea ajali za barabarani Tanzania

9
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for Pemba Island /

Ombea kisiwa cha Pemba

10
IJUMAA/
FRIDAY

Pray for fair politics in the opposition parties/

Omba kuwe na siasa safi katika vyama vya upinzani.

DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
J'MOSI/
SATURDAY

Pray for against road accidents in Tanzania/

Omba kukemea ajali za barabarani Tanzania

12
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray for Manyara region/

Ombea mkoa wa Manyara

13
JUMATATU/
MONDAY

Pray for Mtwara region/

Ombea mkoa wa Mtwara

14
JUMANNE/
TUESDAY

Pray against the establishment of Kadhi courts in Tanzania/

Ombea kukemea kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa Tanzania.

15

JUMATANO/
WED'DAY

Pray against the officiating of Kadhi courts in Tanzania/

Ombea kukemea kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa Tanzania.

DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
16
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for President Kikwete to make right decisions for  us and for our country /

Ombea rais Kikwete afanye maamuzi sahihi kwa ajili yetu na nchi yetu

17
IJUMAA/
FRIDAY

Pray against sharia and muslim courts in Tanzania/

Omba kukataa na kuzuia kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi Tanzania

18
J'MOSI/
SATURDAY

Pray for against road accidents in Tanzania/

Omba kukemea ajali za barabarani Tanzania

19
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray for general elections in 2015/

Ombea uchaguzi mkuu oktoba 2015

20
JUMATATU/
MONDAY

Pray for against road accidents in Tanzania/

Omba kukemea ajali za barabarani Tanzania

21
JUMANNE/
TUESDAY

Pray for president Kikwete/

Ombea rais Kikwete

DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
22
JUMATANO/
WED'DAY

Pray against the establishment of Kadhi courts in Tanzania/

Ombea kukemea kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa Tanzania.

23
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for next parliamentary sessions in Dodoma./

Ombea vikao vijavyo vya bunge Dodoma.

24
IJUMAA/
FRIDAY

Pray for students in colleges and universities to know  Jesus/

Ombea wanafunzi vyuoni wamjue Yesu Kristo

25
J'MOSI/
SATURDAY

Pray for against political unrest and war in Tanzania/
Omba kupinga machafuko na vita katika Tanzania

26
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray agaist famine and floods in Tanzania/
Kemea majanga ya njaa, mafuriko

27
JUMATATU/
MONDAY

Pray against the establishment of Kadhi courts in Tanzania/

Ombea kukemea kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa Tanzania.

28
JUMANNE/
TUESDAY

Pray for Mwakasege ministry to succeed/
Ombea huduma ya Mwakasege ifanikiwe

29

JUMATANO/
WED'DAY

Pray agaist car accidents in Tanzania/
Kemea ajali za barabarani Tanzania

30
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for against political unrest and war in Tanzania/
Omba kupinga machafuko na vita katika Tanzania

1/5/2015
IJUMAA/
FRIDAY

Pray for peace and fair politics in the opposition parties/
Omba kuwe na utulivu na siasa safi katika vyama vya upinzani.