Monday, August 10, 2015

AGOSTI 2015 - AUGUST 2015

DATE/
TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
J'MOSI/

SATURDAY

Pray against car accidents in Tanzania/

Kemea ajali za barabarani Tanzania

2
J’PILI/
SUNDAY
Pray for against political unrest and war in Tanzania/

Omba kupinga machafuko na vita katika Tanzania

3
J’TATU/
MONDAY
Pray for peace/
Ombea amani nchini

4
J’NNE/
TUESDAY
Ombea mkoa wa Lindi
5
J’TANO/
WED’DAY
Pray for the widows/

Ombea wajane

6
ALHAMISI/
THURSDAY
Ombea kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015/

Pray for political campaigns in 2015

7
IJUMAA/
FRIDAY

Pray for peaceful political gatherings/
Omba amani katika mikutano ya ki-siasa

8
JUMAMOSI/
SATURDAY
Pray against corruption in Tanzania Ports Authority/
Kemea rushwa katika bandari za Tanzania

9
J’PILI/
SUNDAY
Pray for the widows/

Ombea wajane

10
J’TATU/
MONDAY
Pray against car accidents in Tanzania/

Kemea ajali za barabarani Tanzania

DATE/
TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
J’NNE/
TUESDAY

Pray against car accidents in Tanzania/

Kemea ajali za barabarani Tanzania

12
J’TANO/
WED’DAY
Pray for against political unrest and war in Tanzania/

Omba kupinga machafuko na vita katika Tanzania

13
THURSDAY/
       ALHAMISI
Pray for peace/
Ombea amani nchini

14
IJUMAA/
FRIDAY
Pray for RUVUMA/
ombea mkoa wa RUVUMA.
15
JUMAMOSI/
SATURDAY
Pray for the widows/

Ombea wajane

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
16
SUNDAY/
JUMAPILI
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against religious conflicts in Tanzania.
    
1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea machafuko ya kidini Tanzania.

17
MONDAY/
JUMATATU
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for general elections 2015

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea uchaguzi mkuu 2015

18
TUESDAY/
JUMANNE
1.    Pray for peaceful political campaigns in Tanzania.
2.    Pray against corruption in government offices.
1.    Ombea amani katika kampeni za uchaguzi mkuu
2.    Kemea rushwa katika taasisi za serikali.

19
WED’DAY/
JUMATANO

1.    Pray for people in Tanzania to be saved.
2.    Pray against the spirit of witchcraft in the church.
1.    Ombea watu wa Tanzania waokoke.
2.    Kemea roho ya uchawi makanisa ya kiroho.

20
THURSDAY/
ALHAMISI

1.    Pray for patients in hospitals and homes.
2.    Pray for president Kikwete

1.    Ombea wagonjwa majumbani na hospitalini.
2.    Ombea rais Kikwete.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
21
FRIDAY /IJUMAA
Giving thanks for peace in Tanzania. Praying for peace in political activities for the year 2015 /

Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania kwa mwaka 2015. Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali  mwaka huu
22
SATURDAY/
JUMAMOSI

23

24

25

26

27
THURSDAY
/ALHAMISI

28

29

30

31