Wednesday, August 2, 2017

AUGUST 2017 SCHEDULE/ RATIBA YA AGOSTI 2017




DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMANNE/
TUESDAY
1/08/2017
Ombea waziri mkuu Majaliwa atende kwa hekima na busara/

Pray for the prime minister Majaliwa to act with wisdom and knowledge
JUMATANO/
WEDNESDAY
2/08/2017
 Ombea mkoa wa Mara/

Pray for Mara region

ALHAMISI/
THURSDAY
3/08/2017
 Ombea mkoa wa Simiyu/

Pray for Simiyu region

IJUMAA/
FRIDAY
4/08/2017
 Ombea mkoa wa Manyara/

Pray for Manyara region

JUMAMOSI/
SATURDAY
5/08/2017
 Ombea mkoa wa Arusha/

Pray for Arusha region

JUMAPILI/
SUNDAY
6/08/2017
 Ombea mkoa wa Tanga/

Pray for Tanga region

JUMATATU/
MONDAY
7/08/2017
Ombea mkoa wa Katavi/

Pray for Katavi region

JUMANNE/
TUESDAY
8/08/2017
Ombea mkoa wa Rukwa/

Pray for Rukwa region

JUMATANO/
WEDNESDAY
9/08/2017
Ombea mkoa wa Kigoma/

Pray for Kigoma region

ALHAMISI/
THURSDAY
10/08/2017
Ombea mkoa wa Mbeya/

Pray for Mbeya region

IJUMAA/
FRIDAY
11/08/2017
Ombea mkoa wa Iringa/

Pray for Iringa region

JUMAMOSI/
SATURDAY
12/08/2017
Ombea mkoa wa Njombe/

Pray for Njombe region

JUMAPILI/
SUNDAY
13/08/2017
Ombea mkoa wa Morogoro/

Pray for Morogoro region

JUMATATU/
MONDAY
14/08/2017
Ombea mkoa wa Ruvuma/

Pray for Ruvuma region

JUMANNE/
TUESDAY
15/08/2017
Ombea mkoa wa Mtwara/

Pray for Mtwara region






DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATANO/
WEDNESDAY
16/08/2017

Omba amani kwa nchi yetu mwaka 2017/

Pray for peace in Tanzania for 2017.

ALHAMISI/
THURSDAY
17/08/2017

Ombea mkoa wa Singida/

Pray for Singida region.

IJUMAA/
FRIDAY
18/08/2017

Ombea mkoa wa Singida/

Pray for Singida region.

JUMAMOSI/
SATURDAY
19/08/2017

Ombea mkoa wa Kigoma/

Pray for Singida Kigoma.

JUMAPILI/
SUNDAY
20/08/2017

Ombea mkoa wa Kigoma/

Pray for Singida Kigoma.

JUMATATU/
MONDAY
21/08/2017
Ombea wakuu wa mikoa watende kazi kwa bidii/

Pray for regional Commissioners to work hard.
JUMANNE/
TUESDAY
22/08/2017
Ombea wakuu wa mikoa watende kazi kwa bidii/

Pray for regional Commissioners to work hard.
JUMATANO/
WEDNESDAY
23/08/2017
Ombea wakuu wa wilaya watende kazi kwa bidii/

Pray for District Commissioners to work hard.
ALHAMISI/
THURSDAY
24/08/2017
Ombea wakuu wa wilaya watende kazi kwa bidii/

Pray for District Commissioners to work hard.
IJUMAA/
FRIDAY
25/08/2017
Omba rais wetu aongoze nchi na hekima na busara/

Pray that our president lead by wisdom and  discernment.
JUMAMOSI/
SATURDAY
26/08/2017
Omba rais wetu aongoze nchi na hekima na busara/

Pray that our president lead by wisdom and  discernment.
JUMAPILI/
SUNDAY
27/08/2017
Omba rais wetu aongoze nchi na hekima na busara/

Pray that our president lead by wisdom and  discernment.




DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATATU/
MONDAY
28/08/2017

Omba amani kwa nchi yetu mwaka 2017/

Pray for peace in Tanzania for 2017.

JUMANNE/
TUESDAY
29/08/2017

Ombea suala la mauaji ya Kibiti/

Pray for Kibiti killings.

JUMATANO/
WEDNESDAY
30/08/2017

Ombea mkoa wa Pwani/

Pray for Pwani region.

ALHAMISI/
THURSDAY
31/08/2017

Ombea wafanyabiashara wa Tanzania wafanikiwe/

Pray for businessmen and businesswomen in Tanzania to prosper.