Friday, October 6, 2017

OCTOBER 2017 SCHEDULE/ RATIBA YA OKTOBA 2017

MATHAYO 7:7/ MATTHEW 7:7


DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATATU/
MONDAY
01/10/2017
Ombea waziri mkuu Majaliwa atende kwa hekima na busara/

Pray for the prime minister Majaliwa to act with wisdom and knowledge
JUMANNE/
TUESDAY
02/10/2017
Ombea Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji/

Pray for ministry of industries, business and investment
JUMATANO/
WEDNESDAY
03/10/2017

Omba amani kwa nchi yetu mwaka 2017/

Pray for peace in Tanzania for 2017.

ALHAMISI/
THURSDAY
04/10/2017

Omba amani kwa nchi yetu mwaka 2017/

Pray for peace in Tanzania for 2017.

IJUMAA/
FRIDAY
05/10/2017

Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy

JUMAMOSI/
SATURDAY
06/10/2017

Ombea mkuu wa majeshi/

Pray for the Top leader of Tanzania army

JUMAPILI/
SUNDAY
07/10/2017
Ombea mawaziri wawajibike ipasavyo/

Pray for the government ministers to work effectively
JUMATATU/
MONDAY
08/10/2017
Ombea wasaidizi wa rais Ikulu. Watimize majukumu yao vizuri/

Pray for the people who work in the state house. They should do their duties as required.
JUMANNE/
TUESDAY
09/10/2017
Ombea vikao vya bunge vijavyo/

To pray for next parliament meetings.
JUMATANO/
WEDNESDAY
10/10/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. /

To pray for rain all over our country.
ALHAMISI/
THURSDAY
11/10/2017
Omba injili ihubiriwe mjini na vijijini/

Pray for the gospel to be preached in town centers and villages
IJUMAA/
FRIDAY
12/10/2017
Ombea Zanzibar waokoke/

Pray that Zanzibar get saved by the grace of God