Friday, February 1, 2013

RATIBA YA FEBRUARI 2013/ FEBRUARY 2013 TIMETABLE

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
FRIDAY /IJUMAA
Pray for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which are taking place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered/
Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vinavyoendelea huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele.
2
SATURDAY/
JUMAMOSI

3
SUNDAY/
JUMAPILI

4
MONDAY/JUMATATU

5
TUESDAY/
JUMANNE

6
WED’DAY/JUMATANO
Pray for peace. We should pray that the nation should not be led under the influence of darkness powers and freemasonry/
Omba amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
7
THURSDAY/ALHAMISI

8

9

10

11
MONDAY/JUMATATU
Pray for peace. We should pray that the nation should not be led under the influence of darkness powers and freemasonry/
Omba amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
12
TUESDAY/
JUMANNE
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii Ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
13
WED’DAY/
JUMATANO
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
14

15

16
SATURDAY/
JUMAMOSI
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against religion-based unpeaceful conflicts/
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa kidini.
17

18

19

20

“Prayer is not asking. It is a longing of the soul. It is daily admission of one's weakness.
It is better in prayer to have a heart without words than words without a heart.”

“I have so much to do that I shall spend the first three hours in prayer.”
― Martin Luther   

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
21
THURSDAY/ALHAMISI

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray against killing of pastors, Christians, bishops by Muslim fundamentalists. Pray against the burning of churches. Pray that People who participated in killing Christians to be caught. /
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Omba kukemea mauaji ya mapadre na wachungaji na wakristo kutokana na watu wanaodhaniwa kuwa ni waislamu wenye msimamo mkali. Kemea uchomaji wa makanisa. Wote waliohusika kuchoma makanisa, na kuua wachungaji au mapadre wakamatwe.
22

23

24

25

26

27

28

IJUMAA/FRIDAY

JUMAMOSI/SATURDAY

No comments:

Post a Comment