Friday, April 5, 2013

RATIBA YA APRILI 2013/ APRIL 2013 TIMETABLE

1 TIMOTHEO 2

1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote;
2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu;
4 ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli.
5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;
6 ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake.

1 TIMOTHY 2

1 I exhort therefore, that, first of all, supplications, prayers, intercessions, and giving of thanks, be made for all men;
2 For kings, and for all that are in authority; that we may lead a quiet and peaceable life in all godliness and honesty.
3 For this is good and acceptable in the sight of God our Saviour;
4 Who will have all men to be saved, and to come unto the knowledge of the truth.
5 For there is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus;

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
MONDAY/
JUMATATU
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii Ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
2
TUESDAY/
JUMANNE

3
WED’DAY/
JUMATANO

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
4
THURSDAY/ALHAMISI

5
FRIDAY /IJUMAA

6
SATURDAY/
JUMAMOSI

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against religion-based unpeaceful conflicts/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa kidini.
7
SUNDAY/
JUMAPILI

8
MONDAY/JUMATATU

9

10
WED’DAY/
JUMATANO
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against religion-based unpeaceful conflicts/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa kidini.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
THURSDAY/ALHAMISI

Pray for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which are taking place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered. Pray against Kadhi court and sharia and OIC affiliation in the new expected constitution/
Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vinavyoendelea huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Kataa kuingizwa kwa mahakama ya kadhi, au sharia au Tanzania kujiunga na OIC kwenye katiba mpya ijayo.
12

13

14

15

16
TUESDAY/
JUMANNE
Pray for peace. We should pray that the nation should not be led under the influence of darkness powers and freemasonry and witchcraft and fortune tellers. Most politicians depend highly on these powers./

Omba amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara, uchawi, freemason na falme za giza kwa ujumla wake. Wanasiasa wengi hutegemea sana nguvu hizi kuongoza nchi au idara mbalimbali.
17
WED’DAY/JUMATANO

18

19

20

Prayer is our true umbrella.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
21
FRIDAY /IJUMAA

Giving thanks for peace in Tanzania. Praying for peace in political activities for the year 2013 /

Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania kwa mwaka 2012. Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali
22

23

24

25

26
FRIDAY /IJUMAA
Giving thanks for peace in Tanzania. pray for ministry of natural resources and tourism. Every sort of corruption in the ministry of natural resources and tourism should be revealed, all who are involved should be taken into the court./

Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania. Ufisadi wote huko wizara ya maliasili na utalii ufichuliwe na hatua stahiki zifuate. Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali
27

28

29

30

No comments:

Post a Comment