- Karibu ndugu katika jukumu hili la kuiombea Tanzania ambalo mara kwa mara husahaulika.
- Maombi hubadilisha hali ya mambo. (1 Thesalonike 5:17)
- Maombi ni nguvu kamilifu yenye uwezo. (Mathayo 7:7)
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
1
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi
tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo.
Hii Ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi
hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
2
|
FRIDAY /
IJUMAA

3
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting
for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi
tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo.
Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi
hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
4
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble.
Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our
lives. All these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais
Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo
katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au
kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika
maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa
usahihi.
|
5
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Repenting for Tanzania.
Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for
all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything
rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All
these leaders should act in the right way/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi
tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo.
Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi
hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
|
6
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against
religion-based unpeaceful conflicts/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa
kidini.
|
7
|
WED’DAY/
JUMATANO

8

9

10
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Repenting for
Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament.
Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against
religion-based unpeaceful conflicts/
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa
ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa
kidini.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
11
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray for the
parliamentary discussions to consider the poor and majority of Tanzanians
2. Pray for LINDI
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Ombea vikao vya bunge. Bunge lijadili na
kupitisha mambo kwa maslahi ya walio maskini na walio wengi.
2. Ombea mkoa wa LINDI.
|
12
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray against
corruption at the sea ports in
Tanzania
2. Pray for MTWARA
region
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea rushwa katika bandari za Tanzania.
2. Ombea mkoa wa MTWARA.
|
13
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray against the
spirit of bureaucracy, corruption and negligence shown by the government to
the claims of teachers in Tanzania
2. Pray for
RUVUMA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho ya urasimu, ya rushwa na ya
kutokujali inayoonyeshwa na serikali ya Tanzania kuhusu madai na malimbikizo
ya walimu nchi nzima.
2. Ombea mkoa wa RUVUMA.
|
14
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray against
prayerlessness among Christians in the church today. Let us ask God to pour
his power in th church so we can pray more and more
2. Pray for PWANI region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho ya kutokuomba baina ya wapendwa
wa kanisa la leo. Tumuombe Mungu amwage roho ya kuomba ili tuwe na kiu ya
kuomba tena na tena bila kuacha.
2. Ombea mkoa wa PWANI.
|
15
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Pray against
corruption in the ministry of health. This ministry is not doing enough to
save the patients. In government hospitals you must bribe the doctors and
nurses to attend the patient or else your loved one will die.
2. Pray for MOROGORO
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho ya RUSHWA katika wizara ya afya.
Hii ni wizara ambayo haiwajibiki kabisa na watu hufia hospitalini kwa sababu
hawana pesa ya kumuhonga nesi au daktari. TUOMBE na Yesu atafanya.
2. Ombea mkoa wa MOROGORO.
|
16
|
FRIDAY /IJUMAA
|
1. Pray for peace in
churches and mosques all over Tanzania.
2. Pray for DODOMA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba amani
itawale makanisani na misikitini kote Tanzania.
2. Ombea mkoa wa DODOMA.
|
17
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray that the
saints of God prosper economically. (PROVERBS 11:10a, 11a)
2. Pray for SINGIDA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba
watakatifu wake aliye juu wafanikiwe kiuchumi.( MITHALI 11:10a, 11a)
2. Ombea mkoa wa SINGIDA.
|
18
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray for the
gospel to be preached in villages of Tanzania.
2. Pray for KIGOMA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba
injili ihubiriwe Tanzania vijijini.
2. Ombea mkoa wa KIGOMA.
|
19
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray for some
potential born again Christians to join in political affairs so as to rescue
our nation.
2. Pray for SINGIDA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba tupate watu
wa Mungu watakatifu watakaoingia kenye siasa ili kuokoa taifa letu.
2. Ombea mkoa wa SINGIDA.
|
20
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray against any
satanic influence in leading the country at the state house.
2. Pray for TABORA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea na
kukataa nchi yetu kuongozwa na mambo ya kishetani pale ikulu.
2. Ombea mkoa wa TABORA.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
21
|
WE’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray for the gospel to be preached in villages.
2. Pray for EAGT church. Pray for bishops and
pastors in EAGT.
Pray
for holiness and evangelism within EAGT.
3. Pray for DODOMA region.
1 Kings 9:3
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Ombea injili ienezwe vijijini.
2. Ombea kanisa la EAGT. Ombea maaskofu wake na
wachungaji wake. Omba utakatifu na uinjilishaji katika EAGT.
3. Ombea mkoa wa DODOMA
1 Wafalme 9:3
|
22

23

24

25
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray for local government’s elections later
this year 2014.
2. Pray for UFUFUO NA UZIMA church to spread in
all regions in
Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
1 Peter 3:12
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Ombea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu
2014.
Uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu.
2. Ombea kanisa la UFUFUO NA UZIMA lienee mikoa
yote
ya
Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
1 Petro
3:12
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
26
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for an
increase in radio and TV stations
which preach
the true gospel.
2. Pray for MJINI
MAGHARIBI region.
.......................................................
1. Omba kuongezeke
idadi ya redio na TV za
kuhubiri
injili ya kweli
2. Ombea mkoa wa
MJINI MAGHARIBI.
|
27
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray that many people of Zanzibar get saved in truth and spirit.
2. Pray for MANYARA region.
...................................................................
1. Tuombe watu waokoke kwa wingi
na katika roho na kweli
huko Zanzibar
2. Ombea mkoa wa MANYARA
|
28
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray that God uplifts the pastors who preach the
gospel
with a whole
heart, but their life standard is very low.
2. Pray for MARA region.
..............................................................................
1. Bwana Mungu awakumbuke wachungaji wanaojitoa
kutumika lakini
hali zao kimaisha ni za chini.
2. Ombea mkoa wa
MARA
|
29
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Pray that we get the leaders who practice justice to
majority
Tanzanians in 2015.
2. Pray for KILIMANJARO region.
.....................................................................
1. Mungu atupe
viongozi wanaotenda haki kwa watanzania
mwaka 2015
2. Ombea mkoa wa
KILIMANJARO.
|
30
|
FRIDAY
/
IJUMAA
|
1. Pray that the parliament should not pass resolutions
in
favour of the
few especially our selfish leaders. The parliament
should consider
the majority who are poor.
2. Pray for GEITA region.
..............................................................................
1. Kemea bunge
lisipitishe matakwa ya wachache hasa walio
madarakani.
Bunge lithamini maoni ya wananchi walio wengi.
Bunge
liwatazame maskini na wanyonge kwa uzito zaidi
2. Ombea mkoa wa
GEITA.
|
31
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray that the people who steals government money, as
well
as those who
practice corruption.
2. Pray for SIMIYU region.
.................................................................................
1. Watendaji wala
rushwa na mafisadi wafichuke na kuchukuliwa
hatua
2. Ombea mkoa wa SIMIYU.
|