Monday, May 5, 2014

MAY 2014 TIMETABLE/ RATIBA YA MEI 2014

  • Karibu ndugu katika jukumu hili la kuiombea Tanzania ambalo mara kwa mara husahaulika.
  • Maombi hubadilisha hali ya mambo. (1 Thesalonike 5:17)
  • Maombi ni nguvu kamilifu yenye uwezo. (Mathayo 7:7)
TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
THURSDAY/
ALHAMISI

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii Ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.

2
FRIDAY /
IJUMAA 

3
SATURDAY/

JUMAMOSI

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.

4
SUNDAY/

JUMAPILI

5
MONDAY/
JUMATATU

6
TUESDAY/

JUMANNE
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against religion-based unpeaceful conflicts/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa kidini.
7
WED’DAY/

JUMATANO

8

9

10
SATURDAY/

JUMAMOSI

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against religion-based unpeaceful conflicts/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa kidini.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray for the parliamentary discussions to consider the poor and majority of Tanzanians
2. Pray for LINDI region.

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Ombea vikao vya bunge. Bunge lijadili na kupitisha mambo kwa maslahi ya walio maskini na walio wengi.
2.  Ombea mkoa wa LINDI.

12
MONDAY/
JUMATATU

1. Pray against corruption at the sea ports in
   Tanzania
2. Pray for MTWARA region

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea rushwa katika bandari za Tanzania.
2.  Ombea mkoa wa MTWARA.

13
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray against the spirit of bureaucracy, corruption and negligence shown by the government to the claims of teachers in Tanzania
2. Pray for RUVUMA  region.

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho ya urasimu, ya rushwa na ya kutokujali inayoonyeshwa na serikali ya Tanzania kuhusu madai na malimbikizo ya walimu nchi nzima.
2.  Ombea mkoa wa RUVUMA.

14
WED’DAY/
JUMATANO

1. Pray against prayerlessness among Christians in the church today. Let us ask God to pour his power in th church so we can pray more and more
2. Pray for PWANI region.

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho ya kutokuomba baina ya wapendwa wa kanisa la leo. Tumuombe Mungu amwage roho ya kuomba ili tuwe na kiu ya kuomba tena na tena bila kuacha.
2.  Ombea mkoa wa PWANI.

15
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray against corruption in the ministry of health. This ministry is not doing enough to save the patients. In government hospitals you must bribe the doctors and nurses to attend the patient or else your loved one will die.

2. Pray for MOROGORO region.

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho ya RUSHWA katika wizara ya afya. Hii ni wizara ambayo haiwajibiki kabisa na watu hufia hospitalini kwa sababu hawana pesa ya kumuhonga nesi au daktari. TUOMBE na Yesu atafanya.

2.  Ombea mkoa wa MOROGORO.

16
FRIDAY /IJUMAA

1. Pray for peace in churches and mosques all over Tanzania.
2.  Pray for DODOMA region

’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba amani itawale makanisani na misikitini kote Tanzania.
2.  Ombea mkoa wa DODOMA.

17
SATURDAY/
JUMAMOSI1. Pray that the saints of God prosper economically. (PROVERBS 11:10a, 11a)
2.  Pray for SINGIDA region

’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba watakatifu wake aliye juu wafanikiwe kiuchumi.( MITHALI 11:10a, 11a)
2.  Ombea mkoa wa SINGIDA.

18
SATURDAY/
JUMAMOSI

1. Pray for the gospel to be preached in villages of Tanzania.
2.  Pray for KIGOMA region

’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba injili ihubiriwe Tanzania vijijini.
2.  Ombea mkoa wa KIGOMA.

19
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray for some potential born again Christians to join in political affairs so as to rescue our nation.
2.  Pray for SINGIDA region

’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba tupate watu wa Mungu watakatifu watakaoingia kenye siasa ili kuokoa taifa letu.
2.  Ombea mkoa wa SINGIDA.

20
MONDAY/
JUMATATU

1. Pray against any satanic influence in leading the      country at the state house.
2.  Pray for TABORA region

’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kukemea na kukataa nchi yetu          kuongozwa na mambo ya kishetani pale ikulu.    
2.  Ombea mkoa wa TABORA.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
21
WE’DAY/
JUMATANO

1. Pray for the gospel to be preached in villages.
2. Pray for EAGT church. Pray for bishops and pastors in EAGT.
    Pray for holiness and evangelism within EAGT.
3. Pray for DODOMA region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Ombea injili ienezwe vijijini.
2. Ombea kanisa la EAGT. Ombea maaskofu wake na
    wachungaji wake. Omba utakatifu na uinjilishaji katika EAGT.
3. Ombea mkoa wa DODOMA
1 Wafalme 9:3

22

23

24

25
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray for local government’s elections later this year 2014.
2. Pray for UFUFUO NA UZIMA church to spread in all regions in
     Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
1 Peter 3:12

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Ombea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2014.
     Uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu.
2. Ombea kanisa la UFUFUO NA UZIMA lienee mikoa yote
    ya Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
1 Petro 3:12

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
26
MONDAY/
JUMATATU

1.  Pray for an increase in radio and TV stations
     which preach the true gospel.

2.  Pray for MJINI MAGHARIBI region.
.......................................................

1.  Omba kuongezeke idadi ya redio na TV za
     kuhubiri injili ya kweli

2.  Ombea mkoa wa MJINI MAGHARIBI.

27
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray that many people of Zanzibar get saved in truth and spirit.

2. Pray for MANYARA region.
...................................................................

1.  Tuombe watu waokoke kwa wingi na katika roho na kweli
    huko Zanzibar

2.  Ombea mkoa wa MANYARA

28
WED’DAY/
JUMATANO

1. Pray that God uplifts the pastors who preach the gospel
     with a whole heart, but their life standard is very low.
2. Pray for MARA region.

..............................................................................

1. Bwana Mungu awakumbuke wachungaji wanaojitoa
    kutumika lakini hali zao kimaisha ni za chini.

2.  Ombea mkoa wa MARA

29
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray that we get the leaders who practice justice to
     majority Tanzanians in 2015.
2. Pray for KILIMANJARO region.

.....................................................................

1.  Mungu atupe viongozi wanaotenda haki kwa watanzania
     mwaka 2015

2.  Ombea mkoa wa KILIMANJARO.

30
FRIDAY /
IJUMAA

1. Pray that the parliament should not pass resolutions in
    favour of the few especially our selfish leaders. The parliament
    should consider the majority who are poor.
    
2. Pray for GEITA region.

..............................................................................

1.  Kemea bunge lisipitishe matakwa ya wachache hasa walio
      madarakani. Bunge lithamini maoni ya wananchi walio wengi.
      Bunge liwatazame maskini na wanyonge kwa uzito zaidi

2.  Ombea mkoa wa GEITA.

31
SATURDAY/
JUMAMOSI1. Pray that the people who steals government money, as well
     as those who practice corruption.
2. Pray for SIMIYU region.

.................................................................................

1.  Watendaji wala rushwa na mafisadi wafichuke na kuchukuliwa
      hatua

2.  Ombea mkoa wa SIMIYU.

No comments:

Post a Comment