TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
1
|
FRIDAY /IJUMAA
|
1. kemea vikaovya uharibifu
vinavyolenga kuharibu kanisa
viharibike na
visifanikiwe.
2. Ombea mkoa wa KAGERA.
//////////////////////////////////////
1. Pray against any evil
meetings against the church no to succeed.
2. Pray for KAGERA region.
|
2
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. kemea mtandao wa majambazi
Tanzania. Majambazi wote
wakamatwe.
2. Ombea mkoa wa NJOMBE.
//////////////////////////////////////
1. Pray against the armed
robbers network. All armed robbers to be caught and arrested.
2. Pray for NJOMBE region.
|
3
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Ombea mamlaka za maji safi
za manispaa , majiji na miji
ili wawajibike ipasavyo
kutuletea maji safi.
2. Ombea mkoa wa LINDI.
////////////////////////////////////
1. Pray for the sewerage authorities
in municipals, towns and cities to work hard for better services
2. Pray for LINDI region. |
4
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Ombea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka
2014. Tupate
viongozi
bora kuiongoza mitaa yetu.
2. Ombea mkoa wa KATAVI.
////////////////////////////////////////////////
1. Pray for the local government elections
later this year of 2014. Pray that we get responsible local government
leaders.
2. Pray for KATAVI region
|
5
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Ombea utendaji wa jeshi la polisi Tanzania.
Kemea rushwa inayo
chukuliwa na
askari polisi. Omba haki itendeke.
2. Ombea mkoa wa IRINGA
///////////////////////////////////////
1. Pray for the police army to work in
justice. Rebuke corruption in the police army
2. Pray for KATAVI region
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
6
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray for
president Kikwete to make wise decisions for our country.
2. Pray for
MARA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba rais Kikwete afanye maamuzi ya
busara kwa ajili ya taifa letu.
2. Ombea mkoa wa MARA.
|
7
|
ALHAMISI/
THURSDAY
|
1. Pray against corruption in the ministry of finance.
2. Pray for LINDI
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho RUSHWA katika wizara ya fedha.
2. Ombea mkoa wa LINDI.
|
8
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
1. Pray against the
torturing of media especially when they speak the truth.
2. Pray for MTWARA
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Kemea tabiaya serikali kunyanyasa vyombo
vya habari hasa hasa vinapoandika mambo ya kweli.
2. Ombea mkoa wa MTWARA.
|
9
|
J’MOSI
SATURDAY
|
1. Pray against
corruption in the ministry of health. This ministry is not doing enough to
save the patients. In government hospitals you must bribe the doctors and
nurses to attend the patient or else your loved one will die.
2. Pray for MOROGORO
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho ya RUSHWA katika wizara ya afya.
Hii ni wizara ambayo haiwajibiki kabisa na watu hufia hospitalini kwa sababu
hawana pesa ya kumuhonga nesi au daktari. TUOMBE na Yesu atafanya.
2. Ombea mkoa wa MOROGORO.
|
10
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray against corruption
in the police force. There is a huge corruption base in the traffic police.
2. Pray for TABORA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho ya rushwa katika jeshi la
polisi. Kuna rushwa iliyoota mizizi hasa katika askari wa usalama barabarani.
2. Ombea mkoa wa TABORA.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
11
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Repenting for Tanzania. Praying for peace. Pray against the
killing of pastors, Christians. Pray against the burning of churches in
Tanzania. Pray for peaceful political meetings or activities./
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Omba amani katika nchi ya Tanzania.
Omba kukemea mauaji ya mapadre na wachungaji na wakristo kutokana na watu
wanaodhaniwa kuwa ni waislamu wenye msimamo mkali. Omba amani itawale kwenye
mikutano na shughuli zozote za kisiasa au vyama vya siasa.
|
12

13
|
JUMATANO/ WEDNESDAY

14

15

16
|
JUMAMOSI/

17
|
JUMAPILI/
SUNDAY

18
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for the Tanzanian Youth to receive Jesus in their
hearts.
2. Pray for unity in spirit for The church of Tanzania.
3. Pray for MWANZA region
ISAIAH 19:22
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba umoja katika roho kwa kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa MWANZA
ISAYA 19:22
|
19
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray that we have a fair and suitable constitution
2. Pray against the habit of prayerlessness among the
Christians.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la
Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA
ISAYA 19:22
|
20

21
|
THURSDAY/
ALHAMISI

22
|
FRIDAY/
IJUMAA

23
|
SATURDAY
/JUMAMOSI
|
1. Pray for peace in political affairs in Tanzania.
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive
safely
3. Pray for MARA region
ISAIAH 38:5
1. Omba amani katika shughuli zote za kisiasa nchini
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
vya usafiri.
3. Ombea mkoa wa MARA
ISAYA 38:5
|
24

25

26
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for the patients in hospitals
2. Pray for committed pastors who work in hardships.
3. Pray for RUVUMA region
ISAIAH 38:5
1. Ombea wagonjwa mahospitalini
2. Ombea wachungaji wanaofanya kazi ya Mungu katika
mazingira
magumu
3. Ombea mkoa wa RUVUMA
ISAYA 38:5
|
27

28

30
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
1. Pray for all meetings of the council of ministers in
the government.
2. Pray for all secondary school headmasters in Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
JEREMIAH 31:9
1. Ombea vikao vyote vya baraza la mawaziri
2. Ombea wakuu wa shule za sekondari Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
YEREMIA 31:9
|
31
|
SATURDAY/
JUMAMOSI |