Monday, October 20, 2014

RATIBA YA OKTOBA 2014/ OCTOBER 2014 TIMETABLE

LET US PRAY WITH HOPE.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
JUMATANO/
WED’DAY

1. Pray for orphans in Tanzania. Pray that they get food, clothes, money and spiritual guidance.
2. Pray for SHINYANGA  region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Ombea watoto yatima katika nchi ya Tanzania ili wapate mahitaji yao kama nguo, chakula na uongozi wa kiroho.
2.  Ombea mkoa wa SHINYANGA.

2
ALHAMISI/

SUNDAY

1. Pray against corruption in the ministry of construction.
2. Pray for RUVUMA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Kemea roho ya RUSHWA katika wizara ya ujenzi.
2.  Ombea mkoa wa RUVUMA.

3
IJUMAA/
FRIDAY

1. Pray against torturing of journalists by the police force.
2. Pray for KASKAZINI PEMBA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Kemea tabia ya polisi kupiga waandishi wa habari.
2.  Ombea mkoa wa KASKAZINI PEMBA.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
4
JUMAMOSI/
SATURDAY

1. Pray for peace in all political activities.
2. Pray for MARA  region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Ombea amani katika shughuli zote za kisiasa.
2.  Ombea mkoa wa MARA.

5
JUMAPILI/
SUNDAY

1. Pray against corruption in the state house.
2. Pray for LINDI region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  kemea roho RUSHWA katika ikulu ya Tanzania.
2.  Ombea mkoa wa LINDI.

6
JUMATATU/
MONDAY

1. Pray for revival in the church.
2. Pray for MTWARA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Omba kuwe na uamsho katika kanisa.
2.  Ombea mkoa wa MTWARA.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
7
JUMANNE/
TUESDAY

1. Pray for a God-fearing president in the next elections.
2. Pray for ARUSHA  region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Omba tupate raisi anayemuogopa Mungu uchaguzi ujao.
2.  Ombea mkoa wa ARUSHA.

8
JUMATANO/

WED’DAY

1. Pray against corruption in the ministry ofinfrastructure.
2. Pray for TANGA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Kemea RUSHWA katika wizara ya miundombinu.
2.  Ombea mkoa wa TANGA.

9
ALHAMISI/

SUNDAY

1. Pray for sanctification of the pulpit and the pulpit leaders (pastors etc.)
2. Pray for SIMIYU region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1.  Omba utakaso wa madhabahu na na wasimamizi wa madhabahu(wachungaji n.k).
2.  Ombea mkoa wa SIMIYU.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
10
FRIDAY /IJUMAA

Pray for peace in Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray against misuse of authority and funds in ministry of education. What is hidden should be unveiled and proper steps to be taken./

Ombea amani Tanzania. Ombea wagonjwa, Yatima na wajane. Omba kukemea utendaji mbovu wizara ya elimu. Mabaya yaliyofichika yafichuliwe na hatua zichukuliwe.

11
SATURDAY/
JUMAMOSI

12
SUNDAY/
JUMAPILI

13
MONDAY/JUMATATU

14
TUESDAY/
JUMANNE

15
WED’DAY/
JUMATANO
Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight among pastors and bishops./

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
16
THURSDAY/ALHAMISI

17

18

19
SUNDAY/
JUMAPILI
Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight among pastors and bishops./

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
20
MONDAY/
JUMATATU
 
1. Pray for the Tanzanian Youth to receive Jesus in their hearts.
2. Pray for unity in spirit for The church of Tanzania.
3. Pray for MWANZA region
ISAIAH 19:22
 
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba umoja katika roho kwa kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa MWANZA
 
ISAYA 19:22
 
21
TUESDAY/
JUMANNE
 
1. Pray that we have a fair and suitable constitution
2. Pray against the habit of prayerlessness among the Christians.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22
 
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA
 
ISAYA 19:22
 
22

23
THURSDAY/
ALHAMISI
 
24
FRIDAY/
IJUMAA
 
25
 SATURDAY
/JUMAMOSI
 
1. Pray for peace in political affairs in Tanzania.
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely
3. Pray for MARA region
ISAIAH 38:5
 
1. Omba amani katika shughuli zote za kisiasa nchini
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
    vya usafiri.
3. Ombea mkoa wa MARA
ISAYA 38:5
 
26

27

28
TUESDAY/
JUMANNE
 
1. Pray for the patients in hospitals
2. Pray for committed pastors who work in hardships.
3. Pray for RUVUMA region
ISAIAH 38:5
 
1. Ombea wagonjwa mahospitalini
2. Ombea wachungaji wanaofanya kazi ya Mungu katika mazingira
     magumu
3. Ombea mkoa wa RUVUMA
ISAYA 38:5
 
29

30

31
IJUMAA/
FRIDAY
 
1. Pray for all meetings of the council of ministers in the government.
2. Pray for all secondary school headmasters in Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
JEREMIAH 31:9
 
1. Ombea vikao vyote vya baraza la mawaziri
2. Ombea wakuu wa shule za sekondari Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
YEREMIA 31:9