LET US PRAY WITH HOPE.
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
1
|
JUMATANO/
WED’DAY
|
1. Pray for orphans in
Tanzania. Pray that they get food, clothes, money and spiritual guidance.
2. Pray for
SHINYANGA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Ombea watoto yatima katika nchi ya Tanzania
ili wapate mahitaji yao kama nguo, chakula na uongozi wa kiroho.
2. Ombea mkoa wa SHINYANGA.
|
2
|
ALHAMISI/
SUNDAY
|
1. Pray against
corruption in the ministry of construction.
2. Pray for
RUVUMA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Kemea roho ya RUSHWA katika wizara ya
ujenzi.
2. Ombea mkoa wa RUVUMA.
|
3
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
1. Pray against
torturing of journalists by the police force.
2. Pray for
KASKAZINI PEMBA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Kemea tabia ya polisi kupiga waandishi wa
habari.
2. Ombea mkoa wa KASKAZINI PEMBA.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
4
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
1. Pray for peace in
all political activities.
2. Pray for
MARA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Ombea amani katika shughuli zote za
kisiasa.
2. Ombea mkoa wa MARA.
|
5
|
JUMAPILI/
SUNDAY
|
1. Pray against
corruption in the state house.
2. Pray for LINDI
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. kemea roho RUSHWA katika ikulu ya Tanzania.
2. Ombea mkoa wa LINDI.
|
6
|
JUMATATU/
MONDAY
|
1. Pray for revival
in the church.
2. Pray for MTWARA
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kuwe na uamsho katika kanisa.
2. Ombea mkoa wa MTWARA.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
7
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
1. Pray for a
God-fearing president in the next elections.
2. Pray for
ARUSHA region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba tupate raisi anayemuogopa Mungu
uchaguzi ujao.
2. Ombea mkoa wa ARUSHA.
|
8
|
JUMATANO/
WED’DAY
|
1. Pray against
corruption in the ministry ofinfrastructure.
2. Pray for TANGA
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Kemea RUSHWA katika wizara ya miundombinu.
2. Ombea mkoa wa TANGA.
|
9
|
ALHAMISI/
SUNDAY
|
1. Pray for
sanctification of the pulpit and the pulpit leaders (pastors etc.)
2. Pray for SIMIYU
region.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba utakaso wa madhabahu na na wasimamizi
wa madhabahu(wachungaji n.k).
2. Ombea mkoa wa SIMIYU.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
10
|
FRIDAY /IJUMAA
|
Pray for peace in
Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray
against misuse of authority and funds in ministry of education. What is
hidden should be unveiled and proper steps to be taken./
Ombea amani
Tanzania. Ombea wagonjwa, Yatima na wajane. Omba kukemea utendaji mbovu
wizara ya elimu. Mabaya yaliyofichika yafichuliwe na hatua zichukuliwe.
|
11
|
SATURDAY/
JUMAMOSI

12
|
SUNDAY/
JUMAPILI

13
|
MONDAY/JUMATATU

14
|
TUESDAY/
JUMANNE

15
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Repenting for
Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in
Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight
among pastors and bishops./
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa
za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya
rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
|
16
|
THURSDAY/ALHAMISI

17

18

19
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Repenting for
Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in
Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight
among pastors and bishops./
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa
za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya
rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
20
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for the Tanzanian Youth to receive Jesus in their
hearts.
2. Pray for unity in spirit for The church of Tanzania.
3. Pray for MWANZA region
ISAIAH 19:22
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba umoja katika roho kwa kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa MWANZA
ISAYA 19:22
|
21
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray that we have a fair and suitable constitution
2. Pray against the habit of prayerlessness among the
Christians.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22
1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la
Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA
ISAYA 19:22
|
22

23
|
THURSDAY/
ALHAMISI

24
|
FRIDAY/
IJUMAA

25
|
SATURDAY
/JUMAMOSI
|
1. Pray for peace in political affairs in Tanzania.
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive
safely
3. Pray for MARA region
ISAIAH 38:5
1. Omba amani katika shughuli zote za kisiasa nchini
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
vya usafiri.
3. Ombea mkoa wa MARA
ISAYA 38:5
|
26

27

28
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for the patients in hospitals
2. Pray for committed pastors who work in hardships.
3. Pray for RUVUMA region
ISAIAH 38:5
1. Ombea wagonjwa mahospitalini
2. Ombea wachungaji wanaofanya kazi ya Mungu katika
mazingira
magumu
3. Ombea mkoa wa RUVUMA
ISAYA 38:5
|
29

30

31
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
1. Pray for all meetings of the council of ministers in
the government.
2. Pray for all secondary school headmasters in Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
JEREMIAH 31:9
1. Ombea vikao vyote vya baraza la mawaziri
2. Ombea wakuu wa shule za sekondari Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
YEREMIA 31:9
|
No comments:
Post a Comment