TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
1
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray
for peace in Tanzania. /
Ombea
amani katika Tanzania
|
2
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray
for peace in Tanzania. /
Ombea
amani katika Tanzania
|
3
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray
for peace in Tanzania. /
Ombea amani
katika Tanzania
|
4
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray
for president Kikwete /
Muombee
rais Kikwete
|
5
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray for against any
secret meetings which will harm the church and the nation./
Omba kinyume na vikao vya siri
vyenye lengo la kuharibu kanisa na Taifa.
|
6
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray
for peace. We should pray that the nation should not be led under the
influence of darkness powers and freemasonry/
Omba
amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo,
mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
|
7
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
Pray
for success on Christians/
Ombea
mafanikio kwa watu wa Mungu.
|
8
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray
for village evangelism with VHM ministries. /
Ombea
uinjilisti vijijini na VHM wawafikie watu wengi zaidi vijijini.
|
9
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray
for Political activities in Tanzania/
Ombea
Shughuli za kisiasa katika Tanzania
|
10
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray
that Tanzania students should know God and receive Jesus in their hearts/
Ombea
wanafunzi mashuleni wamjue Mungu na waokoke.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
11
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely/
Omba kwamba madereva
wote waendeshe kwa usalama vyombo vya
usafiri.
|
12
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely/
Omba kwamba madereva
wote waendeshe kwa usalama vyombo vya usafiri.
|
13
|
THURSDAY
/ALHAMISI
|
Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely/
Omba kwamba madereva
wote waendeshe kwa usalama vyombo vya usafiri.
|
14
|
FRIDAY /IJUMAA
|
Praying for peace in
political activities for the year 2014 /
Tuombe amani katika
shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali
|
15
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Praying for peace in
political activities for the year 2014
Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama
mbalimbali
|
16
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Praying for peace in
political activities for the year 2014
Tuombe amani katika
shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali
|
17
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Praying for peace in
political activities for the year 2014
Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama
mbalimbali
|
18
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray against
corruption in Tanzania Institute of Education /
Kemea rushwa katika
taasisi ya elimu Tanzania.
|
19
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray against
corruption in Tanzania Institute of Education /
Kemea rushwa katika taasisi ya elimu Tanzania.
|
20
|
THURSDAY
/ALHAMISI
|
Giving thanks for
peace in Tanzania. Pray for president Kikwete /
Tumshukuru Mungu kwa
amani ya Tanzania Mwombee rais Kikwete.
|
21
|
FRIDAY /IJUMAA
|
Giving thanks for
peace in Tanzania. Pray for president Kikwete /
Tumshukuru Mungu kwa
amani ya Tanzania Mwombee rais Kikwete.
|
22
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for the Prime Minister
Mizengo Pinda/
Ombea waziri mkuu
Mizengo Pinda.
|
TAR/ DATE
|
SIKU/ DAY
|
OMBI/ PRAYER ITEM
|
23
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray that the saints of God prosper economically. (PROVERBS 11:10a, 11a)
2. Pray for SINGIDA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba
watakatifu wake aliye juu wafanikiwe kiuchumi.( MITHALI 11:10a, 11a)
2. Ombea mkoa wa SINGIDA.
|
24
|
JUMATATU/
MONDAY
|
1. Pray for the gospel to be preached in villages of Tanzania.
2. Pray for KIGOMA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kwamba
injili ihubiriwe Tanzania vijijini.
2. Ombea mkoa wa KIGOMA.
|
25
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
1. Pray for some potential born again Christians to join in political affairs so as to rescue our nation.
2. Pray for IRINGA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba tupate watu
wa Mungu watakatifu watakaoingia kenye siasa ili kuokoa taifa letu.
2. Ombea mkoa wa IRINGA.
|
26
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray against any satanic influence in leading the country at the state house.
2. Pray for MWANZA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea na
kukataa nchi yetu kuongozwa na mambo ya kishetani pale ikulu.
2. Ombea mkoa wa MWANZA.
|
27
|
ALHAMISI/
THURSDAY
|
1. Pray against any satanic influence in leading the ministry of education in Dar es salaam.
2. Pray for GEITA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea na
kukataa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi isiongozwe kwa uchawi.
2. Ombea mkoa wa GEITA.
|
28
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
1. Pray against any satanic influence in leading the ministry of foreign affairs.
2. Pray for MOROGORO region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea na
kukataa wizara ya mambo ya nje isiongozwe kwa uchawi.
2. Ombea mkoa wa MOROGORO.
|
29
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
1. Pray against any satanic influence in leading the ministry of land and settlement
2. Pray for PWANI region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea na
kukataa wizara ya ardhi na makazi isiongozwe kwa uchawi.
2. Ombea mkoa wa PWANI.
|
30
|
JUMAPILI/
SUNDAY
|
1. Pray against any satanic influence in leading the ministry of finance in Dar es salaam.
2. Pray for RUVUMA region
’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea na
kukataa wizara ya fedha isiongozwe kwa uchawi.
2. Ombea mkoa wa RUVUMA.
|
No comments:
Post a Comment