Heri ya mwaka mpya/ Happy new year
MATHAYO 7:7 MATTHEW 7:7
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
1
|
ALHAMISI THURSDAY/
|
Pray for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which will take place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered. Pray for spiritual eyes to the servants of God./
Ombea
amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vitakavyoendelea huko Dodoma.
Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Omba macho ya rohoni kwa
watumishi wa Mungu.
|
2
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
Pray for better services in Muhimbili
Hospital/
Ombea
huduma bora kwa wagonjwa pale Muhimbili.
|
3
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray
for peace in Tanzania in 2015/
Ombea
amani katika Tanzania kwa mwaka 2015.
|
4
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray
for president Kikwete./
Ombea
rais Kikwete.
|
5
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray
that teenagers in Tanzania come to Jesus./
Ombea
vijana katika Tanzania waje kwa Yesu.
|
6
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray
against corruption in the parliament of Tanzania/
Kemea
rushwa katika bunge la Tanzania.
|
7
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray
for nomination of presidential candidates in all parties./
Ombea
upitishaji wa wagombea urais kwa vyama vyote.
|
8
|
ALHAMISI THURSDAY/
|
Pray
against conflicts in political campaigns of 2015/
Kemea
machafuko katika kampeni za uchaguzi 2015.
|
9
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
Pray
for pastors who are in hard times while committed to serve the Lord./
Ombea
wachungaji wanaopita katika hali ngumu huku wakijitoa kufanya kazi ya Mungu.
|
10
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray
for Rev. Cristopher Mwakasege that he may fulfill God’s will in his calling
for 2015./
Ombea
Mwalimu Christopher Mwakasege ili aatimizemapenzi ya Mungu katika huduma yake
mwaka 2015.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
11
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Giving thanks for
peace in Tanzania. Praying for peace in political activities for the year 2015
/
Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania kwa mwaka 2015.
Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali
|
12
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Giving thanks for
peace in Tanzania. Praying for peace in political activities for the year 2015
/
Tumshukuru Mungu kwa
amani ya Tanzania kwa mwaka 2015. Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za
vyama mbalimbali
|
13
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Giving thanks for
peace in Tanzania. Pray against any form of robbers(like panya road gangs) or
terrorism /
Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania. Omba kuvunja na
kukataa uvunjifu wa amani unaofanywa na wahuni kama panya road na Kataa aina
yoyote ya ugaidi.
|
14
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Giving thanks for
peace in Tanzania. Pray against any form of robbers(like panya road gangs) or
terrorism /
Tumshukuru Mungu kwa
amani ya Tanzania. Omba kuvunja na kukataa uvunjifu wa amani unaofanywa na
wahuni kama panya road na Kataa aina yoyote ya ugaidi.
|
15
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Repenting for
Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in
Tanzania. All people involved should be caught./
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa
letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika
wakamatwe na kuchukuliwa hatua.
|
16
|
FRIDAY /IJUMAA
|
Repenting for
Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in
Tanzania. All people involved should be caught./
Pray for spiritual insight among pastors and
bishops./
Tubu kwa ajili ya
Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa
za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya
rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
|
17
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for spiritual insight among pastors and bishops./
Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
|
18
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for the next
parliamentary discussions in Dodoma on February /
Omba kwa ajili ya
mijadala ya bunge hapo februari
|
19
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for the next
parliamentary discussions in Dodoma on February /
Omba kwa ajili ya mijadala ya bunge hapo februari
|
20
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for
Generalelections in around October 2015/
Ombea uchaguzi mkuu
wa wabunge diwani na rais oktoba, 2015
|
21
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray against any
secret meetings which are against Christianity./
Vunja na kemea vikao
vya siri dhidi ya ukristo
|
22
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray that the
natural resources of Tanzania are not continuously being given illegally to
outsiders. We can stop this in prayer./
Omba kwamba
raslimali za Tanzania zisiendelee kutolewa kiholela kwa wageni. Tunaweza
kuzuia hili katika maombi.
|
23
|
FRIDAY /IJUMAA
|
Pray for a proper
presidential candidate from any party in 2015/
Omba rais afaaye
kuiongoza nchi yetu mwaka 2015.
|
24
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray that all
corruption scandals to be unveiled and proper measures to be taken./
Mambo ya rushwa
yaanikwe hadharani na hatua zichukuliwe.
|
25
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray against
bureaucracy and corruption in TANESCO (national electrical company)/
Omba kukataa na
kuvunja urasimu na rushwa katika shirika la umeme (TANESCO)
|
26
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray against
bureaucracy and corruption in TRA (revenue authority)/
Omba kukataa na
kuvunja urasimu na rushwa katika mamlaka ya mapato (TRA)
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
27
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray against secret evil meetings.
2. Pray for MOROGORO region.
1 Kings 9:3
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kinyume na mikutano au vikao vya siri vya
uovu.
2. Ombea mkoa wa MOROGORO
1 Wafalme 9:3
|
28
|
W-DAY/
IJUMATANO
|
1. Pray for peace in Tanzania.
2. Pray for MTWARA region.
1 Kings 9:3
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba amani katika Tanzania.
2. Ombea mkoa wa MTWARA.
1 Wafalme 9:3
|
29
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Pray against secret evil meetings.
2. Pray for TAG (Tanzania Assemblies of God)
Church.
For its pastors, bishops and the 10 year gospel
campaign program.
3. Pray for MARA region.
1 Kings 9:3
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kinyume na mikutano au vikao vya siri vya
uovu.
2. Ombea kanisa la TAG. Ombea maaskofu wake na
wachungaji wake. Ombea mpango wa miaka 10 ya
mavuno
Tanzania kwa Yesu ufanikiwe.
3. Ombea mkoa wa MARA
1 Wafalme 9:3
|
30
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
1. Pray against any unknown meetings for
terrorism and
killing of
christians.
2. Pray for KLPT Church. Pray that a new revival
comes to this church. Pray for all bishops and
pastors of
KLPT.
3. Pray for NJOMBE region.
1 Peter 3:12
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kinyume na mikutano au vikao
vinavyofanyika
mafichoni ili kuua wakristo. Kemea na usambaratishe
vikao vinavyojadili kufanya ugaidi
katika Tanzania.
2. Ombea kanisa la KLPT. omba kwamba kuwepo uamsho. Ombea maaskofu na wachungaji
wa KLPT.
3. Ombea mkoa wa
NJOMBE.
1 Petro
3:12
|
31
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray against any unknown meetings for
terrorism
and killing of
christians.
2. Pray for SIMIYU region.
1 Peter 3:12
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kinyume na mikutano au vikao
vinavyofanyika
mafichoni ili kuua wakristo. Kemea na usambaratishe
vikao
vinavyojadili kufanyaugaidi
katika Tanzania.
2. Ombea mkoa wa SIMIYU.
1 Petro
3:12
|