Friday, January 2, 2015

RATIBA YA JANUARI 2015/ JANUARY 2015 TIMETABLE

Heri ya mwaka mpya/ Happy new year

MATHAYO 7:7    MATTHEW 7:7TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
ALHAMISI THURSDAY/

Pray for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which will take place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered. Pray for spiritual eyes to the servants of God./

Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vitakavyoendelea huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Omba macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.

2
FRIDAY/
IJUMAA

 Pray for better services in Muhimbili Hospital/

Ombea huduma bora kwa wagonjwa pale Muhimbili.

3
SATURDAY/
JUMAMOSI

Pray for peace in Tanzania in 2015/

Ombea amani katika Tanzania kwa mwaka 2015.

4
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray for president Kikwete./

Ombea rais Kikwete.

5
MONDAY/
JUMATATU

Pray that teenagers in Tanzania come to Jesus./

Ombea vijana katika Tanzania waje kwa Yesu.

6
TUESDAY/
JUMANNE

Pray against corruption in the parliament of Tanzania/

Kemea rushwa katika bunge la Tanzania.

7
WED’DAY/
JUMATANO

Pray for nomination of presidential candidates in all parties./

Ombea upitishaji wa wagombea urais kwa vyama vyote.

8
ALHAMISI THURSDAY/

Pray against conflicts in political campaigns of 2015/

Kemea machafuko katika kampeni za uchaguzi 2015.

9
FRIDAY/
IJUMAA

Pray for pastors who are in hard times while committed to serve the Lord./

Ombea wachungaji wanaopita katika hali ngumu huku wakijitoa kufanya kazi ya Mungu.

10
SATURDAY/
JUMAMOSI

Pray for Rev. Cristopher Mwakasege that he may fulfill God’s will in his calling for 2015./

Ombea Mwalimu Christopher Mwakasege ili aatimizemapenzi ya Mungu katika huduma yake mwaka 2015.

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
SUNDAY/
JUMAPILI

Giving thanks for peace in Tanzania. Praying for peace in political activities for the year 2015 /

Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania kwa mwaka 2015. Tuombe amani katika shughuli za kisiasa za vyama mbalimbali

12

13
TUESDAY/
JUMANNE

Giving thanks for peace in Tanzania. Pray against any form of robbers(like panya road gangs) or terrorism /

Tumshukuru Mungu kwa amani ya Tanzania. Omba kuvunja na kukataa uvunjifu wa amani unaofanywa na wahuni kama panya road na Kataa aina yoyote ya ugaidi.

14

15
THURSDAY/
ALHAMISI

Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught./

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua.

16
FRIDAY /IJUMAA

Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught./
 Pray for spiritual insight among pastors and bishops./

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.

17
SATURDAY/
JUMAMOSI

Pray for spiritual insight among pastors and bishops./

Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.

18
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray for the next parliamentary discussions in Dodoma on February /

Omba kwa ajili ya mijadala ya bunge hapo februari

19
MONDAY/
JUMATATU

Pray for the next parliamentary discussions in Dodoma on February /

Omba kwa ajili ya mijadala ya bunge hapo februari

20
TUESDAY/
JUMANNE

Pray for Generalelections in around October 2015/

Ombea uchaguzi mkuu wa wabunge diwani na rais oktoba, 2015

21
WED’DAY/
JUMATANO

Pray against any secret meetings which are against Christianity./

Vunja na kemea vikao vya siri dhidi ya ukristo

22
THURSDAY/
ALHAMISI

Pray that the natural resources of Tanzania are not continuously being given illegally to outsiders. We can stop this in prayer./

Omba kwamba raslimali za Tanzania zisiendelee kutolewa kiholela kwa wageni. Tunaweza kuzuia hili katika maombi.

23
FRIDAY /IJUMAA

Pray for a proper presidential candidate from any party in 2015/

Omba rais afaaye kuiongoza nchi yetu mwaka 2015.

24
SATURDAY/
JUMAMOSI

Pray that all corruption scandals to be unveiled and proper measures to be taken./

Mambo ya rushwa yaanikwe hadharani na hatua zichukuliwe.

25
SUNDAY/
JUMAPILI

Pray against bureaucracy and corruption in TANESCO (national electrical company)/

Omba kukataa na kuvunja urasimu na rushwa katika shirika la umeme (TANESCO)

26
MONDAY/
JUMATATU

Pray against bureaucracy and corruption in TRA (revenue authority)/

Omba kukataa na kuvunja urasimu na rushwa katika mamlaka ya mapato (TRA)
TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
27
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray against secret evil meetings.
2. Pray for MOROGORO region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vya siri vya uovu.
2. Ombea mkoa wa MOROGORO
1 Wafalme 9:3

28
W-DAY/
IJUMATANO
1. Pray for peace in Tanzania.
2. Pray for MTWARA region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba amani katika Tanzania.
2. Ombea mkoa wa MTWARA.
1 Wafalme 9:3

29
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray against secret evil meetings.
2. Pray for TAG (Tanzania Assemblies of God) Church.
    For its pastors, bishops and the 10 year gospel 
    campaign program.
3. Pray for MARA region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vya siri vya uovu.
2. Ombea kanisa la TAG. Ombea maaskofu wake na
    wachungaji wake. Ombea mpango wa miaka 10 ya
    mavuno Tanzania kwa Yesu ufanikiwe.
3. Ombea mkoa wa MARA
1 Wafalme 9:3

30
FRIDAY/
IJUMAA

1. Pray against any unknown meetings for terrorism and 
    killing of christians.
2. Pray for KLPT Church. Pray that a new revival 
    comes to this church. Pray for all bishops and 
    pastors of KLPT.
3. Pray for NJOMBE region.
1 Peter 3:12

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vinavyofanyika
    mafichoni ili kuua wakristo. Kemea na usambaratishe
    vikao vinavyojadili kufanya ugaidi katika Tanzania.

2. Ombea kanisa la KLPT. omba kwamba kuwepo uamsho.     Ombea maaskofu na wachungaji wa KLPT.
   
3. Ombea mkoa wa NJOMBE.
1 Petro 3:12

31
SATURDAY/
JUMAMOSI

1. Pray against any unknown meetings for terrorism
    and killing of christians.

2. Pray for SIMIYU region.
1 Peter 3:12

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vinavyofanyika
    mafichoni ili kuua wakristo. Kemea na usambaratishe
    vikao
    vinavyojadili kufanyaugaidi katika Tanzania.

2. Ombea mkoa wa SIMIYU.
1 Petro 3:12

No comments:

Post a Comment