Monday, March 2, 2015

RATIBA YA MARCH 2015/ MARCH 2015 TIMETABLE
DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
SUNDAY/
JUMAPILI
Pray for Lindi region/
Ombea mkoa wa Lindi

2
JUMATATU/
MONDAY
Pray for Morogoro region/
Ombea mkoa wa Morogoro

3
JUMANNE/
TUESDAY
·         Pray for Mafia Island
·         Pray for Mwakasege Crusade in 1-8 march 2015
................................................
·         Ombea kisiwa cha Mafia
·         Ombea mkutano wa Mwakasege kuanzia tarehe 1-8 Machi, 2015

4

JUMATANO/
WED'DAY
·         Pray for Katavi region
·         Pray for Mwakasege Crusade in 1-8 march 2015
...................................................
·         Ombea mkoa wa Katavi
·         Ombea mkutano wa Mwakasege kuanzia tarehe 1-8 Machi, 2015

5
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for President Kikwete to make right decisions for  us and for our country /
Ombea rais Kikwete afanye maamuzi sahih kwa ajili yetu na nchi yetu
6
IJUMAA/
FRIDAY

·         Pray for president Kikwete
·         Pray for Mwakasege Crusade in 1-8 march 2015/

·         Ombea rais Kikwete
·         Ombea mkutano wa Mwakasege kuanzia tarehe 1-8 Machi, 2015

7
J'MOSI/
SATURDAY
Pray for president Kikwete and Ghalib Bilal the Vice President/
Ombea rais Kikwete na Makamu wake Ghalib Bilal
8
SUNDAY/
JUMAPILI
Pray for general elections in 2015/

Ombea uchaguzi mkuu oktoba 2015
9
JUMATATU/
MONDAY
Pray for Kagera region/
Ombea mkoa wa Kagera

10
JUMANNE/
TUESDAY
Pray for president Kikwete/

Ombea rais KikweteTAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
11
WED’DAY/
JUMATANO

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii Ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.

12
THURSDAY/
ALHAMISI

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Tupo katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.

13
FRIDAY /
IJUMAA

14
SATURDAY/
JUMAMOSI

15

SUNDAY/
JUMAPILI

Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Pray for peace in our country. Pray against religion-based unpeaceful conflicts/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Kemea malumbano, ugomvi, fujo na uchokozi wa kidini.

16
MONDAY/
JUMATATU

17
TUESDAY/
JUMANNE

18

19

20
FRIDAY/
IJUMAA

Pray for Tanzanian army/

Ombea jeshi la wananchi wa Tanzania

DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
21
J'MOSI/
SATURDAY
Pray for Kagera region/
Ombea mkoa wa Kagera

22
SUNDAY/
JUMAPILI
Pray for Mbeya region/
Ombea mkoa wa Mbeya

23
JUMATATU/
MONDAY
Pray for prisoners/
Ombea wafungwa magerezani

24
JUMANNE/
TUESDAY
Pray for next Mwakasege Crusade
................................................
Ombea mkutano ujao wa Mwakasege
25

JUMATANO/
WED'DAY
Pray for the police force to work responsibly.
...................................................
Ombea jeshila polisi liwajibike ipasavyo

DATE/TAREHE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
26
ALHAMISI/
THURSDAY

Pray for President Kikwete to make right decisions for  us and for our country /

Ombea rais Kikwete afanye maamuzi sahih kwa ajili yetu na nchi yetu

27
IJUMAA/
FRIDAY

Pray against sharia and muslim courts in Tanzania/

Omba kukataa na kuzuia kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi Tanzania

28
J'MOSI/
SATURDAY
Pray for parliamentary sessions in Dodoma./
Ombea vikao vya bunge Dodoma.
29
SUNDAY/
JUMAPILI
Pray for general elections in 2015/

Ombea uchaguzi mkuu oktoba 2015
30
JUMATATU/
MONDAY
Pray for against road accidents in Tanzania/
Omba kukemea ajali za barabarani Tanzania
31
JUMANNE/
TUESDAY
Pray for president Kikwete/

Ombea rais Kikwete
No comments:

Post a Comment