Friday, September 11, 2015

SEPTEMBA / SEPTEMBER 2015

TAREHE/
DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray for the Tanzanian Youth to receive Jesus in their hearts.
2. Pray for unity in spirit for The church of Tanzania.
3. Pray for KATAVI region
ISAIAH 19:22

1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba umoja katika roho kwa kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa KATAVI

ISAYA 19:22

2
WED’DAY/
JUMATANO

3
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray that we have a fair and suitable constitution
2. Pray against the habit of prayerlessness among the Christians.
3. Pray for TABORA region

2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa TABORA

ISAYA 19:22

4
FRIDAY /
IJUMAA

3. Pray for LINDI region
ISAIAH 19:22

1. Omba tupate katiba mpya ya haki na inayofaa
2. Omba kinyume na tabia ya kutokuomba katika kanisa la Tanzania
3. Ombea mkoa wa LINDI

ISAYA 19:22

5
SATURDAY/
JUMAMOSI

1. Pray for salvation among Tanzania students.
2. Pray against carelessmess in hospitals which lead to
    death of infants and pregnant women.
3. Pray for TABORA region
ISAIAH 19:22

1. Omba kwamba wanafunzi mashuleni waokoke.
2. Omba kinyume na uzembe katika hospitali unaopelekea
     watoto na wajawazito kufa kwa uzembe wa wauguzi
3. Ombea mkoa wa TABORA

ISAYA 19:22

6
SUNDAY/
JUMAPILI

7
MONDAY/
JUMATATU

8
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray for the children of pastors and bishops that they should be
    saved.
2. Pray for all drivers in Tanzania that they drive safely
3. Pray for MARA region
ISAIAH 38:5

1. Omba kwamba watoto wa wachungaji na maaskofu waokoke na
    kuwa na hofu ya Mungu
2. Omba kwamba madereva wote waendeshe kwa usalama vyombo
    vya usafiri.
3. Ombea mkoa wa MARA
ISAYA 38:5

9

10

11
FRIDAY /
IJUMAA

1. Pray against the misuse of youth during elections in 2015
2. Pray that the Holy Spirit teachings should increase and to be taught now and then in the church. Believers should be filled with the Holy spirit.
3. Pray for Unguja and Pemba
ISAIAH 38:5

1. Omba kukemea vijana wasitumike vibaya kuelekea uchaguzi na wakati wa kupiga kura 2015.
2. Omba mafundisho ya ujazo wa Roho Mtakatifu yafundishwe sana na kusisitizwa sana makanisani. Waaamini wajazwe Roho Mtakatifu.
3. Ombea Unguja na Pemba.
ISAYA 38:5

12

13

14

15

16
WED’DAY/
JUMATANO
1. Pray for peace in 2015 elections
2. Pray for your region
JEREMIAH 31:9

1. Omba amani kwenye uchaguzi wa 2015.
2. Ombea mkoa wako.
YEREMIA 31:9

17
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray for peace in 2015 elections
2. Pray for your region
JEREMIAH 31:9

1. Omba amani kwenye uchaguzi wa 2015.
2. Ombea mkoa wako.
YEREMIA 31:9

18
FRIDAY /IJUMAA
1. Pray for peace in 2015 elections
2. Pray for your region
JEREMIAH 31:9

1. Omba amani kwenye uchaguzi wa 2015.
2. Ombea mkoa wako.
YEREMIA 31:9

19
SATURDAY/
JUMAMOSI

1. Pray for peace in 2015 elections
2. Pray for your region
JEREMIAH 31:9

1. Omba amani kwenye uchaguzi wa 2015.
2. Ombea mkoa wako.
YEREMIA 31:9

20
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray for peace in 2015 elections
2. Pray for your region
JEREMIAH 31:9

1. Omba amani kwenye uchaguzi wa 2015.
2. Ombea mkoa wako.
YEREMIA 31:9

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
21
MONDAY/
JUMATATU

1. Pray against secret evil meetings.
2. Pray for MOROGORO region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vya siri vya uovu.
2. Ombea mkoa wa MOROGORO
1 Wafalme 9:3

22
TUESDAY/
JUMANNE

1. Pray for peace in Tanzania.
2. Pray for MTWARA region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba amani katika Tanzania.
2. Ombea mkoa wa MTWARA.
1 Wafalme 9:3

23
W-DAY/
IJUMATANO

1. Pray for TAG (Tanzania Assemblies of God) Church. For its
pastors, bishops and the 10 year gospel campaign program.
3. Pray for MARA region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

2. Ombea kanisa la TAG. Ombea maaskofu wake na
    wachungaji wake. Ombea mpango wa miaka 10 ya
    mavuno Tanzania kwa Yesu ufanikiwe.
3. Ombea mkoa wa MARA
1 Wafalme 9:3

24
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray against any unknown meetings for terrorism and killing
    of christians.

2. Pray for KLPT Church. Pray that a new revival comes to this
    church. Pray for all bishops and pastors of KLPT.

3. Pray for NJOMBE region.
1 Peter 3:12

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vinavyofanyika
    mafichoni ili kuua wakristo. Kemea na usambaratishe vikao
    vinavyojadili kufanya ugaidi katika Tanzania.

2. Ombea kanisa la KLPT. omba kwamba kuwepo uamsho. Ombea maaskofu na wachungaji wa KLPT.
   
3. Ombea mkoa wa NJOMBE.
1 Petro 3:12
25
FRIDAY/
IJUMAA

1. Pray against any political conflicts and unrest towards general
    elections of 2015.

2. Pray for SIMIYU region.
1 Peter 3:12

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na machafuko na vurugu za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.

2. Ombea mkoa wa SIMIYU.
1 Petro 3:12

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
26
SATURDAY/
JUMAMOSI
Pray for peace in Tanzania. Praying for political peaceful campaigns
.............................................................
Ombea amani katika Tanzania. Ombea mikutano ya kampeni iwe na amani.
27

28
MONDAY/
JUMATATU
Pray for peace in Tanzania. Praying for political peaceful campaigns.
.............................................................
Ombea amani katika Tanzania. Ombea mikutano ya kampeni iwe na amani.
29

30

No comments:

Post a Comment