TUMUOMBEE RAIS MAGUFULI ILI AWE FAIDA KWA WANYONGE.
MUNGU AMUEPUSHE NA WATU WENYE NIA MBAYA.
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
1
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for peace in
Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania
|
2
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray for selection of
government ministers and deputy ministers /
Ombea uteuzi wa
mawaziri na manaibu waziri
|
3
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray for president
Magufuli. /
Ombea rais Magufuli.
|
4
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
Pray for Mama Samia
Suluhu Hassan /
Muombee makamu mama
Samia Suluhu Hasan
|
5
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for against any
secret meetings which will harm the church and the nation./
Omba kinyume na vikao vya siri
vyenye lengo la kuharibu kanisa na Taifa.
|
6
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for peace. We
should pray that the nation should not be led under the influence of darkness
powers and freemasonry/
Omba amani ya nchi.
Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara,
freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
|
7
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for success on
Christians/
Ombea mafanikio kwa
watu wa Mungu.
|
8
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for village
evangelism with VHM ministries. /
Ombea uinjilisti
vijijini na VHM wawafikie watu wengi zaidi vijijini.
|
9
|
WED'DAY/
JUMATANO
|
Pray for Political
activities in Tanzania/
Ombea Shughuli za
kisiasa katika Tanzania
|
10
|
THURSDAY/
A-MISI
|
Pray that Tanzania
students should know God and receive Jesus in their hearts/
Ombea wanafunzi
mashuleni wamjue Mungu na waokoke.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
11
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR president MAGUFULI.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea rais MAGUFULI.
|
||
12
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR president MAGUFULI.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea rais MAGUFULI.
|
||
13
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR president MAGUFULI.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea rais MAGUFULI.
|
||
14
|
MONDAY/
JUMATATU
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR president MAGUFULI.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea rais MAGUFULI.
|
||
15
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR president MAGUFULI.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea rais MAGUFULI.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
16
|
JUMATANO/
W’ DAY
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR prime minister MAJALIWA
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea waziri mkuu MAJALIWA.
|
||
17
|
ALHAMISI/
THURSDAY
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR prime minister MAJALIWA
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea waziri mkuu MAJALIWA.
|
||
18
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR people who work closer with president MAGUFULI in
the state house.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea watu wanaofanya kazi kwa karibu na rais MAGUFULI
ndani ya ikulu.
|
||
19

20
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
·
Pray for peace in Tanzania.
·
Pray FOR ministryof Education.
|
·
Ombea amani Tanzania.
·
Ombea wizara ya ELIMU.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
21
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for peace in
Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania.
|
22
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for peace in
Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania.
|
23
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray for peace in
Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania.
|
24
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray for peace in
Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania.
|
25
|
FRIDAY
/IJUMAA
|
Pray for peace in
Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania.
|
26
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for NEW CABINET
OF MINISTERS. We should pray that the nation should not be led under the
influence of darkness powers and freemasonry and witchcraft and fortune
tellers. Most politicians depend highly on these powers./
Ombea BARAZA JIPYA LA
MAWAZIRI. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo,
mizimu, kafara, uchawi, freemason na falme za giza kwa ujumla wake. Wanasiasa
wengi hutegemea sana nguvu hizi kuongoza nchi au idara mbalimbali.
|
27

28

29

30

31