Monday, February 1, 2016

RATIBA FEBRUARI 2016 /FEBRUARY 2016 TIMETABLE





TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
MONDAY/
JUMATATU
 
Pray for peace in Tanzania.
Pray against religious conflicts in Tanzania.
    
 
Ombea amani Tanzania.
Kemea machafuko ya kidini Tanzania.
 
2
TUESDAY/
JUMANNE
 
 
Pray for permanent secretaries in all ministries.
Pray for prime minister’s office.
    
 
Ombea makatibu wakuu wa wizara zote serikalini
Ombea ofisi ya waziri mkuu.
 
3
WED’DAY/
JUMATANO
 
 
Pray for president MAGUFULI.
Pray against corruption at Tanzania Ports Authority
 
 
Ombea rais MAGUFULI.
Kemea rushwa pale bandarini
 
4
THURSDAY/
ALHAMISI
 
 
Pray for president MAGUFULI.
Pray for moderate rains which do not cause floods
 
 
Ombea rais MAGUFULI.
Omba tupate mvua za kadiri zisizoleta mafuriko.
 
5
 
FRIDAY/
IJUMAA
 
Pray for people in Tanzania to be saved.
Pray against the spirit of witchcraft in the church.
Ombea watu wa Tanzania waokoke.
Kemea roho ya uchawi makanisa ya kiroho.
 
6
SATURDAY/
JUMAMOSI
 
 
Pray for orphans.
Pray for regional commissioners.
 
 
Ombea yatima.
Ombea wakuu wa mikoa
 
7
SUNDAY/
JUMAPILI
 
Pray for widows.
Pray for district commissioners.
 
 
Ombea wajane.
Ombea wakuu wa wilaya.
 






TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
8
MONDAY/
JUMATATU
 
Pray for orphans/
Ombea wajane.
 
9
TUESDAY/
JUMANNE
 
Pray for peace in Tanzania.
Pray for spiritual eyes to the servants of God./
 
Ombea amani katika Tanzania.
Omba macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.
 
10
JUMATANO/
WED’DAY
 
 
Pray for peace in Tanzania.
Pray for spiritual eyes to the servants of God./
 
Ombea amani katika Tanzania.
Omba macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.
 
11
THURSDAY/
ALHAMISI
 
Pray for peace in Tanzania.
Pray for spiritual eyes to the servants of God./
 
Ombea amani katika Tanzania.
Omba macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.
 
12
FRIDAY/
IJUMAA
 
Pray for religious leaders./
Ombea viongozi wa dini
 
13
SATURDAY/
JUMAMOSI
 
 
Pray for religious leaders./
Ombea viongozi wa dini
 
14
SUNDAY/
JUMAPILI
 
Pray for president Magufuli/
Ombea rais Magufuli
 
15
MONDAY/
JUMATATU
 
Pray for president Magufuli/
Ombea rais Magufuli
 





TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
16
JUMANNE/
TUESDAY
 
1. Pray for peace in Tanzania.
2. Pray against cruelty from nurses and doctors in government hospitals. several times patients are dying because of carelessness and negligence. The government knows but it remains passive as if nothing bad is happening in hospitals.
 
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
 
1. Omba amani katika nchi yetu.
2.  Omba kukemea ukatili na uzembe wa makusudi katika hospitali za serikali unaofanywa na wauguzi na madaktari. Wagonjwa walio wengi hufa kwa uzembe wa makusudi na kutowajibika ipasavyo. Serikali yetu inajua na ipo kimya. Leo ukiwa na mgonjwa katika hospitali za serikali, bila kutoa pesa mgonjwa wako unampoteza hivi hivi. Leo ni Fulani kesho ni wewe uko kitandani katika moja ya hospitali hizo hizo. TUSIPOOMBA TUTAKWISHA!!!.
 
17
JUMATANO/
WED’DAY
 
Pray for peace in Tanzania. Pray against car accidents in Tanzania. /
Ombea amani katika Tanzania. Omba kukemea roho ya ajali za barabarani Tanzania.
18
THURSDAY/
ALHAMISI
 
Pray for pastors’ children to pass their exams on whatever level of academic they are in/
 
Ombea watoto wa wachungaji wafaulu mitihani yao katika shule au vyuo wasomapo.
19
FRIDAY /IJUMAA
 
1.  To revive all evangelists in Tanzania to come back with new power and new plans to preach the gospel. There is a huge silence in that important duty given to us by our Lord Jesus.
2.  All secret meetings with bad intentions against the church to be unveiled before they are implemented.
 
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
 
1.  Tuombe uamsho kwa wainjilisti Tanzania. Kuna usingizi usio kuwa wa kawaida kwa wainjilisti. Injili haihubiriwi ipasavyo au haipo kabisa siku hizi. Kuwe na mipango mipya na ya ufanisi katika kuhubiri injili kwa kasi zaidi.
2.  Kemea vikao vyote vya siri vinavyo nuia kuharibu kanisa la Yesu au mwili wa Kristo. Ajenda zao zijulikane kabla hazijafanikiwa.
 
20
SATURDAY/
JUMAMOSI
 
Pray for peace in Tanzania. Praying for next parliamentary discussions which are taking place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered/
 
Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge lijalo huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele.
21
SUNDAY/
JUMAPILI
Pray for peace. We should pray that the nation should not be led under the influence of darkness powers and freemasonry/
Omba amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
22
MONDAY/
JUMATATU
 
1.  Pray against corruption by the traffic police officers. The government doesn’t do anything as the situation continues to be worse.
2. We should pray that the nation should not be led under the influence of evil sacrifices, darkness powers, witchcraft, demons and freemasonry.
 
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
 
1.  Omba kukemea rushwa kwa maaskari wa usalama barabarani. Rushwa hii imeota mizizi na kuna mitandao mikubwa katika jambo hili. Serikali inajua lakini huwa iko kimya na wanaoumia ni wanyonge na watu wa kipato kidogo.
2. Omba amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
 
23
JUMANNE/
TUESDAY
 
 
Pray for the ministry of health/
 
Ombea wizara ya afya
 
 
24
JUMATANO/
WED’DAY
 
 
 
Pray for the ministry of education/
 
Ombea wizara ya elimu
 
 
25
THURSDAY/
ALHAMISI
 
 
 
Pray for the permanent secretaries of all ministries/
 
Ombea makatibu wakuu wa wizara zote.