TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
1
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for peace in
Tanzania.
Pray against
religious conflicts in Tanzania.
|
Ombea amani Tanzania.
Kemea machafuko ya kidini Tanzania.
|
||
2
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray for permanent secretaries
in all ministries.
Pray for prime
minister’s office.
|
Ombea makatibu wakuu
wa wizara zote serikalini
Ombea ofisi ya
waziri mkuu.
|
||
3
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
Pray for president
MAGUFULI.
Pray against
corruption at Tanzania Ports Authority
|
Ombea rais MAGUFULI.
Kemea rushwa pale bandarini
|
||
4
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray for president
MAGUFULI.
Pray for moderate
rains which do not cause floods
|
Ombea rais MAGUFULI.
Omba tupate mvua za kadiri zisizoleta mafuriko.
|
||
5
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
Pray for people in
Tanzania to be saved.
Pray against the
spirit of witchcraft in the church.
|
Ombea watu wa Tanzania waokoke.
Kemea roho ya uchawi makanisa ya kiroho.
|
||
6
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for orphans.
Pray for regional
commissioners.
|
Ombea yatima.
Ombea wakuu wa mikoa
|
||
7
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for widows.
Pray for district
commissioners.
|
Ombea wajane.
Ombea wakuu wa wilaya.
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
8
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for orphans/
Ombea wajane.
|
9
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
Pray
for peace in Tanzania.
Pray
for spiritual eyes to the servants of God./
Ombea
amani katika Tanzania.
Omba
macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.
|
10
|
JUMATANO/
WED’DAY
|
Pray
for peace in Tanzania.
Pray
for spiritual eyes to the servants of God./
Ombea
amani katika Tanzania.
Omba
macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.
|
11
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray
for peace in Tanzania.
Pray
for spiritual eyes to the servants of God./
Ombea
amani katika Tanzania.
Omba
macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.
|
12
|
FRIDAY/
IJUMAA
|
Pray for religious leaders./
Ombea viongozi wa dini
|
13
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for religious leaders./
Ombea viongozi wa dini
|
14
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for president Magufuli/
Ombea rais Magufuli
|
15
|
MONDAY/
JUMATATU
|
Pray for president Magufuli/
Ombea rais Magufuli
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
16
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
1. Pray for peace in
Tanzania.
2. Pray against
cruelty from nurses and doctors in government hospitals. several times
patients are dying because of carelessness and negligence. The government
knows but it remains passive as if nothing bad is happening in hospitals.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba amani katika
nchi yetu.
2. Omba kukemea ukatili na uzembe wa makusudi
katika hospitali za serikali unaofanywa na wauguzi na madaktari. Wagonjwa
walio wengi hufa kwa uzembe wa makusudi na kutowajibika ipasavyo. Serikali
yetu inajua na ipo kimya. Leo ukiwa na mgonjwa katika hospitali za serikali,
bila kutoa pesa mgonjwa wako unampoteza hivi hivi. Leo ni Fulani kesho ni
wewe uko kitandani katika moja ya hospitali hizo hizo. TUSIPOOMBA
TUTAKWISHA!!!.
|
17
|
JUMATANO/
WED’DAY
|
Pray for peace in
Tanzania. Pray against car accidents in Tanzania. /
Ombea amani katika
Tanzania. Omba kukemea roho ya ajali za barabarani Tanzania.
|
18
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray for pastors’
children to pass their exams on whatever level of academic they are in/
Ombea watoto wa wachungaji wafaulu mitihani yao katika
shule au vyuo wasomapo.
|
19
|
FRIDAY /IJUMAA
|
1. To revive all evangelists in Tanzania to
come back with new power and new plans to preach the gospel. There is a huge
silence in that important duty given to us by our Lord Jesus.
2. All secret meetings with bad intentions
against the church to be unveiled before they are implemented.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Tuombe uamsho kwa wainjilisti Tanzania.
Kuna usingizi usio kuwa wa kawaida kwa wainjilisti. Injili haihubiriwi
ipasavyo au haipo kabisa siku hizi. Kuwe na mipango mipya na ya ufanisi
katika kuhubiri injili kwa kasi zaidi.
2. Kemea vikao vyote vya siri vinavyo nuia
kuharibu kanisa la Yesu au mwili wa Kristo. Ajenda zao zijulikane kabla
hazijafanikiwa.
|
20
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
Pray for peace in
Tanzania. Praying for next parliamentary discussions which are taking place
in Dodoma. The poor and majority to be highly considered/
Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge lijalo
huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele.
|
21
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
Pray for peace. We
should pray that the nation should not be led under the influence of darkness
powers and freemasonry/
Omba amani ya nchi.
Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara,
freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
|
22
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray against corruption by the traffic
police officers. The government doesn’t do anything as the situation
continues to be worse.
2. We should pray that
the nation should not be led under the influence of evil sacrifices, darkness
powers, witchcraft, demons and freemasonry.
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
1. Omba kukemea rushwa kwa maaskari wa usalama
barabarani. Rushwa hii imeota mizizi na kuna mitandao mikubwa katika jambo
hili. Serikali inajua lakini huwa iko kimya na wanaoumia ni wanyonge na watu
wa kipato kidogo.
2. Omba amani ya nchi.
Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara,
freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
|
23
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
Pray for the ministry
of health/
Ombea wizara ya afya
|
24
|
JUMATANO/
WED’DAY
|
Pray for the ministry
of education/
Ombea wizara ya elimu
|
25
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
Pray for the permanent
secretaries of all ministries/
Ombea makatibu wakuu
wa wizara zote.
|
No comments:
Post a Comment