Thursday, December 1, 2016

RATIBA DESEMBA 2016 /DECEMBER 2016 TIMETABLE

Ndugu katika Bwana, hatukuweza kuweka maombi katika blogu hii kwa muda sasa. Tunaomba maombi yako ya dhati kwani Shetani alitupinga sana. Asante kwa maombi yako.Brethren. We did not update any Prayer items since February, 2016 due to a spiritual resistance in doing this. We are kindly asking for your prayers for this blog to continue.

MATH 7:7
DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
ALHAMISI/
THURSDAY
1/12/2016
Rais Magufuli atende kwa busara na asikilize ushauri mzuri kutoka kwa watu mbalimbali/

President Magufuli to rule by wisdom and to listen to good advice given by different people

IJUMAA/
FRIDAY
2/12/2016

JUMAMOSI/
SATURDAY
3/12/2016
Omba kilimo cha Tanzania kiwe na tija. Mazao yasitawi. Misimu ya mvua ikae sawa. Umwagiliaji ufanikiwe/

Pray for Tanzania Agriculture to be profitable to the farmers and peasants. Rain season to come at due time. To have better and efficient irrigation systems.
JUMAPILI/
SUNDAY
4/12/2016

JUMATATU/
MONDAY
5/12/2016

JUMANNE/
TUESDAY
6/12/2016
Omba kilimo cha Tanzania kiwe na tija. Mazao yasitawi. Misimu ya mvua ikae sawa. Umwagiliaji ufanikiwe/

Pray for Tanzania Agriculture to be profitable to the farmers and peasants. Rain season to come at due time. To have better and efficient irrigation systems.

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATANO/
WEDNESDAY
7/12/2016
Ombea waziri mkuu Majaliwa atende kwa hekima na busara/

Pray for the prime minister Majaliwa to act with wisdom and knowledge
ALHAMISI/
THURSDAY
8/12/2016

9/12/2016
Rais Magufuli atende kwa busara na asikilize ushauri mzuri kutoka kwa watu mbalimbali/

President Magufuli to rule by wisdom and to listen to good advice given by different people

JUMAMOSI/
SATURDAY
10/12/2016

11/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals
JUMATATU/
MONDAY
12/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals
JUMANNE/
TUESDAY
13/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATANO/
WEDNESDAY
14/12/2016
Ombea waziri mkuu Majaliwa atende kwa hekima na busara/

Pray for the prime minister Majaliwa to act with wisdom and knowledge
ALHAMISI/
THURSDAY
15/12/2016

16/12/2016
Rais Magufuli atende kwa busara na asikilize ushauri mzuri kutoka kwa watu mbalimbali/

President Magufuli to rule by wisdom and to listen to good advice given by different people

JUMAMOSI/
SATURDAY
17/12/2016

18/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals
JUMATATU/
MONDAY
19/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals
JUMANNE/
TUESDAY
20/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATANO/
WEDNESDAY
21/12/2016
Ombea waziri wa afya. Asimamie afya kwa ubunifu na uzalendo/

Pray for the health to supervise health affairs with creativity and patriotism
ALHAMISI/
THURSDAY
22/12/2016

23/12/2016
Ombea Rais Magufuli atende asimamie rasilimali za Taifa kwa manufaa ya watanzania/

Pray for President Magufuli  to manage natual resources for the benefits of many Tanzanians

JUMAMOSI/
SATURDAY
24/12/2016

25/12/2016
Ombea Rais Magufuli atende asimami rasilimali za Taifa kwa manufaa ya watanzania/

Pray for President Magufuli  to manage natual resources for the benefits of many Tanzanians

JUMATATU/
MONDAY
26/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya utalii/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from tourism
JUMANNE/
TUESDAY
27/12/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya utalii/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from tourism

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATANO/
WEDNESDAY
28/12/2016
Tushukuru Mungu kwa ajili ya nchi yetu kukaa na amani 2016/

Thanking God that Tanzania has remained peaceful in the year 2016
ALHAMISI/
THURSDAY
29/12/2016
Tushukuru Mungu kwa ajili ya nchi yetu kukaa na amani 2016/

Thanking God that Tanzania has remained peaceful in the year 2016
IJUMAA/
FRIDAY
30/12/2016
Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy
JUMAMOSI/
SATURDAY
31/12/2016
Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy

No comments:

Post a Comment