Tuesday, January 3, 2017

RATIBA YA JANUARI 2017/JANUARY 2017 SCHEDULE

HERI YA MWAKA MPYA/HAPPY NEW YEAR
MATH 7:7

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMAPILI/
SUNDAY
1/1/2017
Ombea Rais Magufuli asimamie rasilimali za Taifa kwa manufaa ya watanzania/
Pray for President Magufuli  to manage natual resources for the benefits of many Tanzanians
JUMATATU/
MONDAY
2/1/2017
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya utalii/
Pray for Tanzania as a country to benefit more from tourism
JUMANNE/
TUESDAY
3/1/2017

JUMATANO/
WEDNESDAY
4/1/2017
Omba amani kwa nchi yetu mwaka 2017/
Pray for peace in Tanzania for 2017.
ALHAMISI/
THURSDAY
5/1/2017
Omba amani kwa nchi yetu mwaka 2017/
Pray for peace in Tanzania for 2017.
IJUMAA/
FRIDAY
6/1/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/
President Magufuli to be healthy
JUMAMOSI/
SATURDAY
7/1/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/
President Magufuli to be healthy
JUMAPILI/
SUNDAY
8/1/2017
Ombea wasaidizi wa rais Ikulu. Watimize majukumu yao vizuri/
Pray for the people who work in the state house. They should do their duties as required.
JUMATATU/
MONDAY
9/1/2017

10/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/
To pray for rain all over our country. It is very dry.
JUMATANO/
WEDNESDAY
11/1/2017

Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. (1 Yohana 5:14)

This is the confidence we have in approaching God: that if we ask anything according to his will, he hears us. [1 John 5:14]

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
ALHAMISI/
THURSDAY
12/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/
To pray for rain all over our country. It is very dry.
IJUMAA/
FRIDAY
13/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/
To pray for rain all over our country. It is very dry.
JUMAMOSI/
SATURDAY
14/1/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/
President Magufuli to be healthy
JUMAPILI/
SUNDAY
15/1/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/
President Magufuli to be healthy
JUMATATU/
MONDAY
16/1/2017
Rais Magufuli aongoze nchi kwa busara na hekima/
President Magufuli to use wisdom in leading our country
JUMANNE/
TUESDAY
17/1/2017
Rais Magufuli aongoze nchi kwa busara na hekima/
President Magufuli to use wisdom in leading our country
JUMATANO/
WEDNESDAY
18/1/2017
Ombea vikao vya baraza la mawaziri 2017/
To pray for internal meetings of all ministers in 2017
ALHAMISI/
THURSDAY
19/1/2017
Ombea vikao vya baraza la mawaziri 2017/
To pray for internal meetings of all ministers in 2017
IJUMAA/
FRIDAY
20/1/2017
Ombea bunge la mwezi februari 2017/
Pray for parliamentary meeting in February 2017

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMAMOSI/
SATURDAY
21/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/

To pray for rain all over our country. It is very dry.
JUMAPILI/
SUNDAY
22/1/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy
JUMATATU/
MONDAY
23/1/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy
JUMANNE/
TUESDAY
24/1/2017
Rais Magufuli aongoze nchi kwa busara na hekima/

President Magufuli to use wisdom in leading our country
JUMATANO/
WEDNESDAY
25/1/2017
Rais Magufuli aongoze nchi kwa busara na hekima/

President Magufuli to use wisdom in leading our country
ALHAMISI/
THURSDAY
26/1/2017
Ombea vikao vya baraza la mawaziri 2017/

To pray for internal meetings of all ministers in 2017
IJUMAA/
FRIDAY
27/1/2017
Ombea vikao vya baraza la mawaziri 2017/

To pray for internal meetings of all ministers in 2017
JUMAMOSI/
SATURDAY
28/1/2017
Ombea bunge la mwezi februari 2017/

Pray for parliamentary meeting in February 2017
JUMAPILI/
SUNDAY
29/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/

To pray for rain all over our country. It is very dry.
JUMATATU/
MONDAY
30/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/

To pray for rain all over our country. It is very dry.
JUMANNE/
TUESDAY
31/1/2017
Tumuombe Mungu mvua inyeshe ya kutosha nchini kwetu. Ukame umezidi/

To pray for rain all over our country. It is very dry.

No comments:

Post a Comment