DAY/SIKU
|
TAREHE/DATE
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
1/07/2017
|
Omba kilimo cha Tanzania kiwe na
tija. Mazao yasitawi. Misimu ya mvua ikae sawa. Umwagiliaji ufanikiwe/
Pray for Tanzania Agriculture to
be profitable to the farmers and peasants. Rain season to come at due time.
To have better and efficient irrigation systems.
|
JUMAPILI/
SUNDAY
|
2/07/2017
|
Omba rais Magufuli asikilize
ushauri mzuri/
Pray for president Magufuli to
accept good advice.
|
JUMATATU/
MONDAY
|
3/07/2017
|
Ombea wakuu wa mikoa/
Pray for regional commissioners
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
4/07/2017
|
Ombea waziri mkuu/
Pray for prime minister
|
JUMATANO/
WEDNESDAY
|
5/07/2017
|
Ombea vikao vya bunge Dodoma/
Pray for parliamentary discussions
in Dodoma
|
ALHAMISI/
THURSDAY
|
6/07/2017
|
Ombea wanafunzi secondary/
Pray for secondary schools
students
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
7/07/2017
|
Ombea wanafunzi vyuoni/
Pray for college or university
students
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
8/07/2017
|
Ombea wanafunzi shule za msingi/
Pray for primary schools students
|
JUMAPILI/
SUNDAY
|
9/07/2017
|
Ombea vikao vya baraza la
mawaziri/
Pray for all ministers meetings
|
JUMATATU/
MONDAY
|
10/07/2017
|
Ombea mkoa wa Mbeya/
Pray for Mbeya region
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
11/07/2017
|
Ombea mkoa wa Tabora/
Pray for Tabora region
|
DAY/SIKU
|
TAREHE/DATE
|
OMBI/PRAYER
ITEM
|
JUMATANO/
WEDNESDAY
|
12/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira Waziri – January Makamba Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina |
ALHAMISI/
THURSDAY
|
13/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora. Mawaziri – George Simbachawene na Angella Kairuki Naibu Waziri – Sumeilam Jafo. |
IJUMAA/
FRIDAY
|
14/7/2017
|
OMBEA Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Waziri – Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt Possy Abdallah na
Anthony
Mavunde.
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
15/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Waziri – Dk. Charles Tizeba Naibu Waziri – William Ole Nasha |
JUMAPILI/
SUNDAY
|
16/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. Waziri : Charles Mwijage. Naibu Waziri – Edwin Ambandusi Ngonyani |
JUMATATU/
MONDAY
|
17/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Fedha na Mipango Waziri –Dk Philip Mpango Naibu Waziri – Ashantu Kizachi |
JUMANNE/
TUESDAY
|
18/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Nishati na Madini Waziri – Prof Mwigalumi Muhongo. Naibu Waziri – Medalled Karemaligo. |
JUMATANO/
WEDNESDAY
|
19/7/2017
|
OMBEA Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Waziri – Dkt Augustino Mahiga Naibu Waziri – Dkt Susan Kolimba. |
ALHAMISI/
THURSDAY
|
20/7/2017
|
OMBEA Waziri – Dk Hussein Mwinyi |
IJUMAA/
FRIDAY
|
21/7/2017
|
OMBEA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri – William Lukuvi Naibu Waziri – Angelina Mabula |
DAY/SIKU
|
TAREHE/DATE
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
22/07/2017
|
Omba
kilimo cha Tanzania kiwe na tija. Mazao yasitawi. Misimu ya mvua ikae sawa.
Umwagiliaji ufanikiwe/
Pray
for Tanzania Agriculture to be profitable to the farmers and peasants. Rain
season to come at due time. To have better and efficient irrigation systems.
|
JUMAPILI/
SUNDAY
|
23/07/2017
|
Omba
kilimo cha Tanzania kiwe na tija. Mazao yasitawi. Misimu ya mvua ikae sawa.
Umwagiliaji ufanikiwe/
Pray
for Tanzania Agriculture to be profitable to the farmers and peasants. Rain
season to come at due time. To have better and efficient irrigation systems.
|
JUMATATU/
MONDAY
|
24/07/2017
|
Rais
Magufuli awe na afya njema/
President
Magufuli to be healthy
|
JUMANNE/
TUESDAY
|
25/07/2017
|
Rais
Magufuli awe na afya njema/
President
Magufuli to be healthy
|
JUMATANO/
WEDNESDAY
|
26/07/2017
|
Ombea
mkoa wa Tabora/
Pray
for Tabora region
|
ALHAMISI/
THURSDAY
|
27/07/2017
|
Ombea
mkoa wa Singida/
Pray
for Singida region
|
IJUMAA/
FRIDAY
|
28/07/2017
|
Ombea
mkoa wa Kigoma/
Pray
for Kigoma region
|
JUMAMOSI/
SATURDAY
|
29/07/2017
|
Ombea
mkoa wa Dodoma/
Pray
for Dodoma region
|
JUMAPILI/
SUNDAY
|
30/07/2017
|
Ombea
mkoa wa Iringa/
Pray
for Iringa region
|
JUMATATU/
MONDAY
|
31/07/2017
|
Ombea
mkoa wa Kagera/
Pray
for Kagera region
|
No comments:
Post a Comment