Saturday, September 2, 2017

SEPTEMBER 2017 /SEPTEMBA 2013

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
IJUMAA/
FRIDAY
01/09/2017
Rais Magufuli atende kwa busara na asikilize ushauri mzuri kutoka kwa watu mbalimbali/

President Magufuli to rule by wisdom and to listen to good advice given by different people

JUMAMOSI/
SATURDAY
02/09/2017
Omba kilimo cha Tanzania kiwe na tija. Mazao yasitawi. Misimu ya mvua ikae sawa. Umwagiliaji ufanikiwe/

Pray for Tanzania Agriculture to be profitable to the farmers and peasants. Rain season to come at due time. To have better and efficient irrigation systems.
JUMAPILI/
SUNDAY
03/09/2017

JUMATATU/
MONDAY
04/09/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy
JUMANNE/
TUESDAY
05/09/2017
Rais Magufuli awe na afya njema/

President Magufuli to be healthy
JUMATANO/
WEDNESDAY
06/09/2017
Omba waziri Mkuu atende kwa busara/

Prime Minister to act with wisdom
ALHAMISI/
THURSDAY
07/09/2017
Omba waziri Mkuu atende kwa busara/

Prime Minister to act with wisdom
IJUMAA/
FRIDAY
08/09/2017
Ombea wakuu wa mikoa yote wawe wabunifu na wasaidie wananchi/

Regional commissioners to be creative and help people they lead.
JUMAMOSI/
SATURDAY
09/09/2017
Ombea wakuu wa mikoa yote wawe wabunifu na wasaidie wananchi/

Regional commissioners to be creative and help people they lead.
JUMAPILI/
SUNDAY
10/09/2017
Ombea wizara ya fedha/

Pray for ministry of finance
JUMATATU/
MONDAY
11/09/2017
Ombea wizara ya fedha/

Pray for ministry of finance
JUMANNE/
TUESDAY
12/09/2017
Ombea yatima na wajane/

Pray for widows and orphans
JUMATANO/
WEDNESDAY
13/09/2017
Ombea yatima na wajane/

Pray for widows and orphans
ALHAMISI/
THURSDAY
14/09/2017
Ombea wafanya biashara wa Tanzania/

Pray for business men in Tanzania

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
IJUMAA/
FRIDAY
15/09/2017
Omba kilimo cha Tanzania
Pray for Tanzania Agriculture.
JUMAMOSI/
SATURDAY
16/09/2017
Ombea sekta ya uvuvi/
Pray for fishing industry
JUMAPILI/
SUNDAY
17/09/2017
Ombea sekta ya afya/
Pray for health sector
JUMATATU/
MONDAY
18/09/2017
Ombea wakuu wa mikoa/
Pray for regional commissioners
JUMANNE/
TUESDAY
19/09/2017
Ombea waziri mkuu/
Pray for prime minister
JUMATANO/
WEDNESDAY
20/09/2017
Ombea vikao vya bunge Dodoma/
Pray for parliamentary discussions in Dodoma
ALHAMISI/
THURSDAY
21/09/2017
Ombea wanafunzi secondary/
Pray for secondary schools students
IJUMAA/
FRIDAY
22/09/2017
Ombea wanafunzi vyuoni/
Pray for college or university students
JUMAMOSI/
SATURDAY
23/09/2017
Ombea wanafunzi shule za msingi/
Pray for primary schools students
JUMAPILI/
SUNDAY
24/09/2017
Ombea vikao vya baraza la mawaziri/
Pray for all ministers meetings
JUMATATU/
MONDAY
25/09/2017
Ombea jeshi la wananchi/
Pray for the army
JUMANNE/
TUESDAY
26/09/2017
Ombea wafungwa/
Pray for prisoners

DAY/SIKU
TAREHE/DATE
OMBI/PRAYER ITEM
JUMATANO/
WEDNESDAY
27/09/2016
Ombea waziri mkuu Majaliwa atende kwa hekima na busara/

Pray for the prime minister Majaliwa to act with wisdom and knowledge
ALHAMISI/
THURSDAY
28/09/2016
Ombea waziri mkuu Majaliwa atende kwa hekima na busara/

Pray for the prime minister Majaliwa to act with wisdom and knowledge
IJUMAA/
FRIDAY
29/09/2016
Rais Magufuli atende kwa busara na asikilize ushauri mzuri kutoka kwa watu mbalimbali/

President Magufuli to rule by wisdom and to listen to good advice given by different people

JUMAMOSI/
SATURDAY
30/09/2016
Rais Magufuli atende kwa busara na asikilize ushauri mzuri kutoka kwa watu mbalimbali/

President Magufuli to rule by wisdom and to listen to good advice given by different people

JUMAPILI/
SUNDAY
31/09/2016
Omba kwamba Tanzania inufaike na sekta ya madini/

Pray for Tanzania as a country to benefit more from minerals

No comments:

Post a Comment