Sunday, June 30, 2013

JULY 2013 TIMETABLE/ RATIBA YA JULAI 2013

MATTHEW 7:7/ MATHAYO 7:7



TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
MONDAY/     
JUMATATU

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against religious conflicts in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Arusha
4.    DISTRICT ON DUTY: Arumeru

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea machafuko ya kidini Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Arumeru

2
TUESDAY/
JUMANNE

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for peace in all political meetings.
3.    REGION ON DUTY: Arusha
4.    DISTRICT ON DUTY: Karatu
    

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea amani kwenye mikutano ya kisiasa.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Karatu.

3
WED’DAY/
JUMATANO

1.    Pray for widows and orphans.
2.    Pray that Tanzanians should be saved.
3.    REGION ON DUTY: Arusha
4.    DISTRICT ON DUTY: Longido


1.    Ombea yatima na wajane.
2.    Ombea watanzania waokoke.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Longido

4
THURSDAY/
ALHAMISI

1.    Pray against corruption.
2.    Pray that natural resources should not keep Tanzania into war and strife.
3.    REGION ON DUTY: Arusha
4.    DISTRICT ON DUTY: Monduli

1.    Kemea rushwa katika Tanzania.
2.    Kemea kwamba raslimali zetu zisituingize kwenye vita na machafuko.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Monduli.

5

FRIDAY /
IJUMAA
1.    Pray for students in secondary schools.
2.    Pray against accidents in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Arusha
4.    DISTRICT ON DUTY: Ngorongoro

1.    Ombea wanafunzi wa sekondari Tanzania.
2.    Kemea ajali katika Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Ngorongoro

6
SATURDAY/
JUMAMOSI

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for a well prepared contitution.
3.    REGION ON DUTY: Arusha
4.    DISTRICT ON DUTY: Arusha Urban

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea katiba ijayo iwe nzuri.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Arusha mjini

7
SUNDAY/
JUMAPILI
1.     Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for president Kikwete.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Bahi


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Mwombee rais Kikwete.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Bahi



Mathayo 7:7 / matthew 7:7


TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
8
MONDAY/
JUMATATU
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against political conflicts in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Dodoma Urban
    

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea machafuko ya kisiasa Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Dodoma mjini.

9
TUESDAY/
JUMANNE
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against religious conflicts in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Kongwa


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea machafuko ya kidini Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Kongwa.

10
WED’DAY/
JUMATANO

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against orphans mistreatement.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Chamwino

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea dhuluma kwa yatima.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Chamwino

11

THURSDAY/ALHAMISI

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for the all government ministers meetings.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Mpwapwa

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea vikao vya baraza la mawaziri.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Mpwapwa

12
FRIDAY /IJUMAA
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against political conflicts in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Kondoa

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea machafuko ya kisiasa Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Kondoa

13
SATURDAY/
JUMAMOSI
1.     Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against witchcraft meetings.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Dodoma Urban,


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea vikao vya wachawi visifanikiwe.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Dodoma mjini

14
SUNDAY/JUMAPILI
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for gospel evangelism in Tanzania rural.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Kongwa

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea injili ienee vijijini.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Kongwa

15
MONDAY/JUMATATU
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray better services in government hospitals.
3.    REGION ON DUTY: Dodoma
4.    DISTRICT ON DUTY: Kongwa

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Omba kuwe na hudum bora katika hospitali za serikali.
3.    MKOA WA ZAMU: Dodoma
4.    Wilaya ya zamu: Bahi






TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
16
TUESDAY/
JUMANNE
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against religious conflicts in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Bariadi

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Kemea machafuko ya kidini Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Bariadi

17

WED’DAY/
JUMATANO

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for peace in all political meetings.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Busega
    

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea amani kwenye mikutano yote ya kisiasa.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Busega

18
THURSDAY/
ALHAMISI

1.    Pray for widows and orphans.
2.    Pray for gospel preaching in villages.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Meatu


1.    Ombea yatima na wajane.
2.    Ombea injili vijijini.
3.   MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Meatu

19
FRIDAY /
IJUMAA
1.    Pray against corruption.
2.    Pray that natural resources should not keep Tanzania into war and strife.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Itilima

1.    Kemea rushwa katika Tanzania.
2.    Kemea kwamba raslimali zetu zisituingize kwenye vita na machafuko.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Itilima

20

SATURDAY/
JUMAMOSI

1.    Pray for students in secondary schools.
2.    Pray against corruption in the Police Army.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Maswa

1.    Ombea wanafunzi wa sekondari Tanzania.
2.    Kemea rushwa ndani ya jeshi la polisi.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Maswa

21
SUNDAY/
JUMAPILI
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for a well prepared contitution.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Bariadi

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea katiba ijayo iwe nzuri.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Bariadi

22
MONDAY/
JUMATATU

1.     Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for president Kikwete.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Busega


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Mwombee rais Kikwete.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Busega

23
TUESDAY/
JUMANNE
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for the prime minister Pinda.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Itilima

1.Ombea amani Tanzania.
2.    Mwombee waziri mkuu Pinda
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Itilima

 24
WED’DAY/
JUMATANO

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for all meetings of the council of ministers.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Maswa


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea vikao vyote vya baraza la mawaziri.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Maswa


25
THURSDAY/
ALHAMISI

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for pregnant women in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Simiyu
4.    DISTRICT ON DUTY: Meatu

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea wamama wajawazito Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Simiyu
4.    Wilaya ya zamu: Meatu

26
FRIDAY /
IJUMAA
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray against all occult societies in Tanzania.
3.    REGION ON DUTY: Mara
4.    DISTRICT ON DUTY: Musoma Rural


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Pinga jumuiya zote za kishetani Tanzania.
3.    MKOA WA ZAMU: Mara
4.    Wilaya ya zamu: Musoma vijijini


27

SATURDAY/
JUMAMOSI

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for wisdom to our bishops and pastors.
3.    REGION ON DUTY: Mara
4.    DISTRICT ON DUTY: Musoma Urban



1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea wachungaji na maaskofu wawe na hekima.
3.    MKOA WA ZAMU: Mara
4.    Wilaya ya zamu: Musoma mjini

28
SUNDAY/
JUMAPILI

1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for all prisoners.
3.    REGION ON DUTY: Mara
4.    DISTRICT ON DUTY: Tarime

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea wafungwa magerezani.
3.    MKOA WA ZAMU: Mara
4.    Wilaya ya zamu: Tarime


29
MONDAY/
JUMATATU


1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray for hope and healing on patients at home and in hospitals.
3.    REGION ON DUTY: Mara
4.    DISTRICT ON DUTY: Rorya


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea wagonjwa mahospitalini na majumbani wawe na tumaini na wapone Matatizo yao.
3.    MKOA WA ZAMU: Mara
4.    Wilaya ya zamu: Rorya

30
TUESDAY/
JUMANNE
1.    Pray for peace in Tanzania.
2.    Pray that people in mining sites should believe in Jesus and receive His salvation.
3.    REGION ON DUTY: Mara
4.    DISTRICT ON DUTY: Butiama


1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea watu wanaofanya kazi migodini wamwamini Yesu na kuokoka.
3.    MKOA WA ZAMU: Mara
4.    Wilaya ya zamu: Butiama


31
WED’DAY/
JUMATANO


1.    Pray for peace in Tanzania.  
2.    Pray for peace inside the ruling party CCM.
3.    REGION ON DUTY: Mara
4.    DISTRICT ON DUTY: Musoma Rural

1.    Ombea amani Tanzania.
2.    Ombea amani na utulivu ndani ya CCM.
3.    MKOA WA ZAMU: Arusha
4.    Wilaya ya zamu: Musoma Vijijini