TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
1
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray against religious conflicts in
Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Arusha
4.
DISTRICT ON DUTY: Arumeru
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea
machafuko ya kidini Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Arumeru
|
||
2
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for peace in all political meetings.
3.
REGION ON DUTY: Arusha
4.
DISTRICT ON DUTY: Karatu
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea amani
kwenye mikutano ya kisiasa.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Karatu.
|
||
3
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray for
widows and orphans.
2.
Pray that Tanzanians should be saved.
3.
REGION ON DUTY: Arusha
4. DISTRICT
ON DUTY: Longido
|
1. Ombea yatima
na wajane.
2. Ombea
watanzania waokoke.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Longido
|
||
4
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Pray against
corruption.
2.
Pray that natural resources should not keep
Tanzania into war and strife.
3.
REGION ON DUTY: Arusha
4. DISTRICT
ON DUTY: Monduli
|
1. Kemea
rushwa katika Tanzania.
2. Kemea kwamba
raslimali zetu zisituingize kwenye vita na machafuko.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Monduli.
|
||
5
|
FRIDAY /
IJUMAA
|
1. Pray for
students in secondary schools.
2.
Pray against accidents in Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Arusha
4. DISTRICT
ON DUTY: Ngorongoro
|
1. Ombea wanafunzi
wa sekondari Tanzania.
2. Kemea ajali
katika Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Ngorongoro
|
||
6
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for a well prepared contitution.
3.
REGION ON DUTY: Arusha
4. DISTRICT
ON DUTY: Arusha Urban
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea
katiba ijayo iwe nzuri.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Arusha mjini
|
||
7
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for president Kikwete.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Bahi
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Mwombee
rais Kikwete.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Bahi
|
Mathayo 7:7 / matthew 7:7
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
8
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray against political conflicts in
Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4.
DISTRICT ON DUTY: Dodoma Urban
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea
machafuko ya kisiasa Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Dodoma mjini.
|
||
9
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray against religious conflicts in
Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Kongwa
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea
machafuko ya kidini Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Kongwa.
|
||
10
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray against orphans mistreatement.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Chamwino
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea dhuluma
kwa yatima.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Chamwino
|
||
11
|
THURSDAY/ALHAMISI
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for the all government ministers
meetings.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Mpwapwa
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea
vikao vya baraza la mawaziri.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Mpwapwa
|
||
12
|
FRIDAY /IJUMAA
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray against political conflicts in
Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Kondoa
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea
machafuko ya kisiasa Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Kondoa
|
||
13
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray against witchcraft meetings.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Dodoma Urban,
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea vikao
vya wachawi visifanikiwe.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Dodoma mjini
|
||
14
|
SUNDAY/JUMAPILI
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for gospel evangelism in Tanzania rural.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4. DISTRICT
ON DUTY: Kongwa
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea
injili ienee vijijini.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Kongwa
|
||
15
|
MONDAY/JUMATATU
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray better services in government hospitals.
3.
REGION ON DUTY: Dodoma
4.
DISTRICT ON DUTY: Kongwa
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Omba
kuwe na hudum bora katika hospitali za serikali.
3. MKOA WA
ZAMU: Dodoma
4. Wilaya
ya zamu: Bahi
|
TAREHE/DATE
|
DAY/SIKU
|
OMBI/PRAYER ITEM
|
16
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray against religious conflicts in
Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4.
DISTRICT ON DUTY: Bariadi
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Kemea
machafuko ya kidini Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Bariadi
|
||
17
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for peace in all political meetings.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4.
DISTRICT ON DUTY: Busega
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea amani
kwenye mikutano yote ya kisiasa.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Busega
|
||
18
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1. Pray for
widows and orphans.
2.
Pray for gospel preaching in villages.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4. DISTRICT
ON DUTY: Meatu
|
1. Ombea yatima
na wajane.
2. Ombea injili
vijijini.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Meatu
|
||
19
|
FRIDAY /
IJUMAA
|
1. Pray against
corruption.
2.
Pray that natural resources should not keep
Tanzania into war and strife.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4. DISTRICT
ON DUTY: Itilima
|
1. Kemea
rushwa katika Tanzania.
2. Kemea kwamba
raslimali zetu zisituingize kwenye vita na machafuko.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Itilima
|
||
20
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1. Pray for
students in secondary schools.
2.
Pray against corruption in the Police Army.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4. DISTRICT
ON DUTY: Maswa
|
1. Ombea wanafunzi
wa sekondari Tanzania.
2. Kemea rushwa
ndani ya jeshi la polisi.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Maswa
|
||
21
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for a well prepared contitution.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4. DISTRICT
ON DUTY: Bariadi
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea
katiba ijayo iwe nzuri.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Bariadi
|
||
22
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for president Kikwete.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4. DISTRICT
ON DUTY: Busega
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Mwombee
rais Kikwete.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Busega
|
||
23
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for the prime minister Pinda.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4.
DISTRICT ON DUTY: Itilima
|
1.Ombea
amani Tanzania.
2. Mwombee waziri
mkuu Pinda
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Itilima
|
||
24
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for all meetings of the council of
ministers.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4.
DISTRICT ON DUTY: Maswa
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea vikao
vyote vya baraza la mawaziri.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Maswa
|
||
25
|
THURSDAY/
ALHAMISI
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for pregnant women in Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Simiyu
4.
DISTRICT ON DUTY: Meatu
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea wamama
wajawazito Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Simiyu
4. Wilaya
ya zamu: Meatu
|
||
26
|
FRIDAY /
IJUMAA
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray against all occult societies in
Tanzania.
3.
REGION ON DUTY: Mara
4.
DISTRICT ON DUTY: Musoma Rural
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Pinga
jumuiya zote za kishetani Tanzania.
3. MKOA WA
ZAMU: Mara
4. Wilaya
ya zamu: Musoma vijijini
|
||
27
|
SATURDAY/
JUMAMOSI
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for wisdom to our bishops and pastors.
3.
REGION ON DUTY: Mara
4.
DISTRICT ON DUTY: Musoma Urban
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea wachungaji
na maaskofu wawe na hekima.
3. MKOA WA
ZAMU: Mara
4. Wilaya
ya zamu: Musoma mjini
|
||
28
|
SUNDAY/
JUMAPILI
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for all prisoners.
3.
REGION ON DUTY: Mara
4.
DISTRICT ON DUTY: Tarime
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea wafungwa
magerezani.
3. MKOA WA
ZAMU: Mara
4. Wilaya
ya zamu: Tarime
|
||
29
|
MONDAY/
JUMATATU
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray for hope and healing on patients at
home and in hospitals.
3.
REGION ON DUTY: Mara
4.
DISTRICT ON DUTY: Rorya
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea wagonjwa
mahospitalini na majumbani wawe na tumaini na wapone Matatizo yao.
3. MKOA WA
ZAMU: Mara
4. Wilaya
ya zamu: Rorya
|
||
30
|
TUESDAY/
JUMANNE
|
1. Pray for
peace in Tanzania.
2.
Pray that people in mining sites should
believe in Jesus and receive His salvation.
3.
REGION ON DUTY: Mara
4.
DISTRICT ON DUTY: Butiama
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea watu
wanaofanya kazi migodini wamwamini Yesu na kuokoka.
3. MKOA WA
ZAMU: Mara
4. Wilaya
ya zamu: Butiama
|
||
31
|
WED’DAY/
JUMATANO
|
1.
Pray for peace in Tanzania.
2.
Pray for peace inside the ruling party CCM.
3.
REGION ON DUTY: Mara
4.
DISTRICT ON DUTY: Musoma Rural
|
1. Ombea
amani Tanzania.
2. Ombea amani
na utulivu ndani ya CCM.
3. MKOA WA
ZAMU: Arusha
4. Wilaya
ya zamu: Musoma Vijijini
|
No comments:
Post a Comment