Saturday, August 31, 2013

SEPTEMBER 2013 TIMETABLE/RATIBA YA SEPTEMBA 2013

                   "Prayer is not overcoming God's reluctance, but laying hold of His willingness."

Martin Luther.
 
TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
SUNDAY/
JUMAPILI
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/

Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii diyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
2
MONDAY/
JUMATATU

3
TUESDAY/
JUMANNE

4
WED’DAY/
JUMATANO

5
THURSDAY/
ALHAMISI

6
FRIDAY /
IJUMAA
Pray for peace in Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray against misuse of authority and funds in ministry of education. What is hidden should be unveiled and proper steps to be taken./

Ombea amani Tanzania. Ombea wagonjwa, Yatima na wajane. Omba kukemea utendaji mbovu wizara ya elimu. Mabaya yaliyofichika yafichuliwe na hatua zichukuliwe.

7
SATURDAY/
JUMAMOSI

8

9

10

11
WED’DAY/
JUMATANO
Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight among pastors and bishops./
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
12

13
FRIDAY /IJUMAA

14

15

16
MONDAY
/JUMATATU
Repenting for Tanzania. Repenting for president Kikwete. Repenting for the Parliament. Repenting for all ministers. Because of these leaders we are in much trouble. Everything rise or fall under leadership. This is a true principle in our lives. All these leaders should act in the right way/
 
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Tubu kwa ajili ya Rais Kikwete. Tubu kwa ajili ya bunge. Tubu kwa ajili ya baraza la mawaziri. Wakati mwingine tunaingia katika matatizo kwa sababu ya viongozi tulionao. Kila kitu kitafanikiwa au kitashindwa kwa sababu ya uongozi uliopo. Hii ndiyo kanuni ya kweli katika maisha ya namna zote. Omba kwamba viongozi hawa wafanye mambo sahihi na kwa usahihi.
17

18

19

20
FRIDAY /
IJUMAA
Pray for peace in Tanzania. Pray for sick people, the poor, the orphans and the widows. Pray against misuse of authority and funds in ministry of education. What is hidden should be unveiled and proper steps to be taken./
 
Ombea amani Tanzania. Ombea wagonjwa, Yatima na wajane. Omba kukemea utendaji mbovu wizara ya elimu. Mabaya yaliyofichika yafichuliwe na hatua zichukuliwe.
 
21

22

23

24

25
WED’DAY/
JUMATANO
Repenting for Tanzania. Pray for peace. Pray for stopping the drug trafficking business in Tanzania. All people involved should be caught. Pray for spiritual insight among pastors and bishops./
 
Tubu kwa ajili ya Tanzania. Ombea amani katika taifa letu. Kemea biashara na matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Omba macho ya rohoni kwa wachungaji na maaskofu.
26

27

28

29

30

 No comments:

Post a Comment