Sunday, February 2, 2014

RATIBA YA FEBRUARI 2014/ FEBRUARY 2014 TIMETABLE

TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
1
SATURDAY/
JUMAMOSI

Pray for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which will take place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered. Pray for spiritual eyes to the servants of God. MATTHEW 7:7

Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vitakavyoendelea huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Omba macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.  MATHAYO 7:7

2
SUNDAY/
JUMAPILI
Pray for peace in Tanzania. Praying for parliamentary discussions which will take place in Dodoma. The poor and majority to be highly considered. Pray for spiritual eyes to the servants of God. MATTHEW 7:7 /

3
MONDAY/
JUMATATU

4
TUESDAY/
JUMANNE

5
JUMATANO/
WED’DAY

Ombea amani katika Tanzania. Ombea vikao vya bunge vitakavyoendelea huko Dodoma. Wanyonge na masikini wa Tanzania wapewe kipaumbele. Omba macho ya rohoni kwa watumishi wa Mungu.  MATHAYO 7:7TAREHE/DATE
DAY/SIKU
OMBI/PRAYER ITEM
6
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray against secret evil meetings.
2. Pray for TAG (Tanzania Assemblies of God) Church. 
   For its pastors, bishops and the 10 year gospel 
   campaign program.
3. Pray for MOROGORO region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vya siri vya
    uovu.
2. Ombea kanisa la TAG. Ombea maaskofu wake na
    wachungaji wake. Ombea mpango wa miaka 10 ya
    mavuno Tanzania kwa Yesu ufanikiwe.
3. Ombea mkoa wa MOROGORO

1 Wafalme 9:3

7
FRIDAY /IJUMAA

8

9
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray against any unknown meetings for terrorism and
    killing of christians.
2. Pray for KLPT Church. Pray that a new revival comes 
   to this church. Pray for all bishops and pastors of
   KLPT.
3. Pray for NJOMBE region.
1 Peter 3:12

1. Omba kinyume na mikutano au vikao vinavyofanyika
    mafichoni ili kuua wakristo. Kemea na usambaratishe 
    vikao vinavyojadili kufanya ugaidi katika Tanzania.

3. Ombea mkoa wa NJOMBE.

1 Petro 3:12

10

11
JUMANNE/
TUESDAY

12
JUMANNE/
TUESDAY
 1. Pray for peace in Tanzania.
 2. Pray against cruelty from nurses and doctors in government hospitals. several times patients are dying because of carelessness and negligence. The government knows but it remains passive as if nothing bad is happening in hospitals.
 3. Pray for SIMIYU region.
 1 CHRONICLES 5:19-22
‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’
 1. Omba amani katika nchi yetu.
 2. Omba kukemea ukatili na uzembe wa makusudi katika hospitali za serikali unaofanywa na wauguzi na madaktari. Wagonjwa walio wengi hufa kwa uzembe wa makusudi na kutowajibika ipasavyo. Serikali yetu inajua na ipo kimya. Leo ukiwa na mgonjwa katika hospitali za serikali, bila kutoa pesa mgonjwa wako unampoteza hivi hivi. Leo ni Fulani kesho ni wewe uko kitandani katika moja ya hospitali hizo hizo. TUSIPOOMBA TUTAKWISHA!!!.
 3. Ombea mkoa wa SIMIYU.
  1 NYAKATI 5:19-22
13

14

15
FRIDAY /IJUMAA
   
 1. To revive all evangelists in Tanzania to come back with new power and new plans to preach the gospel. There is a huge silence in that important duty given to us by our Lord Jesus.
 2. All secret meetings with bad intentions against the church to be unveiled before they are implemented.
 3. pray for LINDI region.
  1 CHRONICLES 7:14-15

 1. Tuombe uamsho kwa wainjilisti Tanzania. Kuna usingizi usio kuwa wa kawaida kwa wainjilisti. Injili haihubiriwi ipasavyo au haipo kabisa siku hizi. Kuwe na mipango mipya na ya ufanisi katika kuhubiri injili kwa kasi zaidi.
 2. Kemea vikao vyote vya siri vinavyo nuia kuharibu kanisa la Yesu au mwili wa Kristo. Ajenda zao zijulikane kabla hazijafanikiwa.
 3. Ombea Mkoa wa LINDI.
   1 NYAKATI 7:14-15
16

17

18
MONDAY/
JUMATATU
 1.  Pray against corruption by the traffic police officers. The government doesn’t do anything as the situation continues to be worse.
 2. We should pray that the nation should not be led under the influence of evil sacrifices, darkness powers, witchcraft, demons and freemasonry.
 3. Pray for RUVUMA region.
   PROVERBS 15:8

 1. Omba kukemea rushwa kwa maaskari wa usalama barabarani. Rushwa hii imeota mizizi na kuna mitandao mikubwa katika jambo hili. Serikali inajua lakini huwa iko kimya na wanaoumia ni wanyonge na watu wa kipato kidogo.
 2. Omba amani ya nchi. Tukatae nchi yetu kuongozwa chini ya nguvu za majini, mapepo, mizimu, kafara, freemason na falme za giza kwa ujumla wake.
 3. Ombea mkoa wa RUVUMA.
   MITHALI 15:8
19

20

21
THURSDAY/
ALHAMISI

1. Pray for the gospel to be preached in villages.
2. Pray for EAGT church. Pray for bishops and pastors in
     EAGT. Pray for holiness and evangelism within EAGT.
3. Pray for DODOMA region.
1 Kings 9:3

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Ombea injili ienezwe vijijini.
2. Ombea kanisa la EAGT. Ombea maaskofu wake na
    wachungaji wake. Omba utakatifu na uinjilishaji katika EAGT.
3. Ombea mkoa wa DODOMA
1 Wafalme 9:3

22

23

24
SUNDAY/
JUMAPILI

1. Pray for local government’s elections later this year 2014.
2. Pray for UFUFUO NA UZIMA church to spread in all
     regions in Tanzania.
3. Pray for KATAVI region.
1 Peter 3:12

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

1. Ombea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2014.
     Uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu.
2. Ombea kanisa la UFUFUO NA UZIMA lienee mikoa yote
    ya Tanzania.
3. Ombea mkoa wa KATAVI.
1 Petro 3:12

25

26

27
JUMATANO/
WEDNESDAY

28

1 Petro 3:12No comments:

Post a Comment